Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,454
- 1,569
Jihad.
Janjaweed na mwingine Bokoharam
Wadau amani iwe juu yenu.
Nashukuru sana uwezo wa MUUMBA kwa kutujaalia mimi na mwenza wangu kupata watoto mapacha wa kike na kiume.
Naomba mdau pendekeza majina manne 2 kike na 2 kiume nichague majina ya kuwapa wanangu. NI WAISLAMU.
Duh! Chuki hata kwa watoto wa siku mbili?
Mwanaume. Chagua hapa.
1. Masumbuko
2. Mateso
3. Majuto
4. Hapendeki.
Mwanamke.
1. Shida
2. Siyawezi
3. Semeni
4. Tabu