Nashukuru kwa ushauli wenu waungwana

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Ni mara baada ya kutoka sakina hapa nilipo nmegonga konyagi...... Hongera sana mkulu wa nchi hii kutuondolea stress tusio na kipato kwa ule msaada wako wa.___ sasa hvivi naskia usingiz balaa
 
dont underestimate the power of konyagi in the afternoon!

you can sleep in the centre of the morogoro road...! lol!
 
Piga nyagi hadi huyo jamaa ashushe hiyo mikono...nakuja lipa
 
kwel hyo konyagi coz hata ulichokiandika chenyewe ni konyagi tupuu
 
Yaani siku hizi ---- likishadinda maneenah haliulizwi umedinda kwa nini?

Linawahishwa kuchovya. Maneeenah.

Siku mbili tatu wannakimbia kuuliza kulikoni?

Stupid!!
 
Ni mara baada ya kutoka sakina hapa nilipo nmegonga konyagi...... Hongera sana mkulu wa nchi hii kutuondolea stress tusio na kipato kwa ule msaada wako wa.___ sasa hvivi naskia usingiz balaa

utata uja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…