Nashukuru kunambia unanipenda

Mmmmmh!!!! Hayo mapenzi yameanzaje mpaka asiwe tayari kukupoteza wakati ndo kwanza mmetamkiana? Nawewe umeridhika? Usirudi na post nyingine ya kulia hapa..... Ebu mkaishi kwenye hayo mahusiano kwanza, mchunguzane ndo uje hapa
 
Huyo anapalilia upatikanaji wa Malighafi bila usumbufu wowote, na vile umetanguliza hisia mbele akili nyuma ameshakutengeneza huyo hahitaji sangoma, pole mwayego.
 
Bas ujue kuna mjanja asha mpiga chini.

Kwa sasa umebaki peke yako.

*hongera lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

kwelii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…