Nashukuru kunambia unanipenda

Kama ni Ke utakuwa ndo mwenyewe niliyasema hayo Jana kama sa hizi
 
kwan umepata salary increment nin mkuu na amejua?
 
Baada ya muda mrefu finaly mpenzi wangu kaniambia ananipenda sana na hayuko tayari kunipoteza.

🙂 🙂
Sasaaaa....
Alikuaje mpenzi wako, wakati alikua hakupendi...[emoji15] [emoji15]
Au mimi ndio sija elewa vizuri..[emoji101] [emoji101]
 
Haya ndo matokeo ya kusema baadhi ya watu hawashirik kutuma chochot jf.Sasa hii siredi yako umelenga nn
 
Haya ndo matokeo ya kusema baadhi ya watu hawashirik kutuma chochot jf.Sasa hii siredi yako umelenga nn
We unaona nimelenga nn? halafu si lazima useme kwa kiingereza sema tu "uzi" siredi ndio umelenga nin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…