Nashindwa tambua juu ya hili

^^
Sio yaweza kuwa.. Ni nguzo hasa!
Sasa wewe yakoroge kwa jeuri, kiburi, maneno machafu ndio utajua kuku ananyonyesha pia
^^
 
Kivipi mpenzi?

inaongeza ukaribu, amani, imani, furaha, na upendo pia, ukimuongelea lugha mbaya mpenzi wako lazima atapoteza imani na wewe na upendo wake utaanza kuzimika taratibu!
 
inaongeza ukaribu, amani, imani, furaha, na upendo pia, ukimuongelea lugha mbaya mpenzi wako lazima atapoteza imani na wewe na upendo wake utaanza kuzimika taratibu!

Kumbe niwe naongea na wewe vizuri etiii?
 
Inategemea tu lakini kitu muhimu ukiwa muongo usiwe msahaulivu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…