NIMEHARIBIWA PC YANG,,INAGOMA KURUDISHA WINDOW YAKE!! JE HARD DISK INAHSIANA
NA
HILI tAtIZO?
Mbona hueleweki? Window inarudije? Kama imecollapse weka window nyingine.
Kilichoharibika katika PC yako ni kitu gani?
WINDOW IME COLLAPSE!, NA INAFELI KURUDISHIA, SIJUI tAtIZO.
Jaribu kuweka ujumbe wa maneno unaooneka katika skrini ya PC yako, hususani ni pale inapogoma ukiwa wafanya installation ya Windows!
Yangu inasomeka NTLDR IS MISSING.
Msaada tafadhali
Cna uhucano bali na mm nina tatizo la kushindwa kubadili OS kwenye pc yangu ndo maana nikaweka kile kinachotokea pale ninapoiwasha.Una uhusiano wowote na muanzisha hii thread au hii ni ID yako nyingine?
Cna uhucano bali na mm nina tatizo la kushindwa kubadili OS kwenye pc yangu ndo maana nikaweka kile kinachotokea pale ninapoiwasha.