Nashindwa kuweka tick kiboksi cha Declaration Form ya Ajira Portal

MATONYA new

Senior Member
Jan 21, 2021
139
330
Habari za leo Jamii Forum members, naomba msaada, msaada ninao uomba unajikita kwenye kuweka tick kibox cha declaration form ya Ajira Portal, kila nikijaribu kuweka alama ya tick inagoma.

Je, nifanye nini kufanikiwa?

Picha hiyo hapo

 
kuwa na busara,kama wewe ushapata waache na wenzio nao wapate
Kaka changamoto za ajira portal ni nyingi na hazirekebishiki,in fact huo ni mfumo wa kuwanyima watu ajira na sio kuwapa watu ajira, sikusema kwa ubaya, atapoteza muda bure
 
Achana napo hapo mkuu, kikubwa kama usha attach barua ya kuomba kazi basi inatosha, chakufanya nenda kwenye vacancies uka apply unachotaka kuomba
 
Wakuu na mm nimeapply utumishi kwa certify vyeti yaan cheti cha chuo cheti cha form four na kuzaliw ilaa sijaattach transcript vp nawez kuw sabb kutoitwa

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Angalia source ya internet unayotumia kama ina nguvu,
 
Kaka changamoto za ajira portal ni nyingi na hazirekebishiki,in fact huo ni mfumo wa kuwanyima watu ajira na sio kuwapa watu ajira, sikusema kwa ubaya, atapoteza muda bure
izo changamoto za kutuma zipo sawa kuna muda mwingine mtandao unasumbua ila nafasi ya kutuma ipo kwa kila mtu,mie mwenyewe nimeshatuma maombi ya kazi mbili kwa muda tofauti tofauti,ila sasa wewe unatakiwa kumpa matumaini ya kufanikiwa kutuma na sio kumwambia asitume atafute kazi ajiajiri ama afungue kiwanda hayo ni maneno yasiyo ya kiungwana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…