Nashindwa Kuwaelewa Wanawake

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,100
Reaction score
1,955
Wajameni, nina jamaa yangu tuliekutana katika shughuli za kikazi (kampuni anakofanyia kazi ni wateja wangu).

Anaishi mbali kiasi na ninapoishi, kwa maana hiyo hatukutani mara kwa mara socially. Jirani na ninapoishi yupo dada mmoja ninaemfahamu slightly (kwa jina na anapofanyia kazi - ni wateja wangu pia).

Hadi jana sikuwa najua kuwa jamaa yangu na huyu dada wana uhusiano wa kimapenzi. Nothing strange in that, lakini kilichonishangaza ni kuwa jamaa yangu anamfahamu mpenziwe dada huyu kwa jina tofauti (jamaa anamfahamu bidada kwa jina la Neema Jackson) na ninalomfahamu mimi na analolitumia mtaani kwetu na kazini kwake (ambalo ni Jamila Rajab)

Kina dada, hivi kwenu nyie jina lina thamani kuliko kipochi manyoya? Yaani umpe mtu papuchi lakini umdanganye jina lako halisi?

Nimetekewa mwenzenu.
 
kwahiyo ajabu hapo iko wap?

hajapendwa a.k.a jamaa ni wa mpito kwanini awe na taarifa kamili?
sidhani kama bidada kakosea

utatuelewa tu taratibu...
 
Ndugu ningekushauri uondoe majina kamili ya mtuhumiwa...atleast ondoa surname..

Mkubwa, hayo majina ni common mno na unaweza kukuta watu zaidi ya mmoja kwenye kijiji kimoja wakiitwa hivyo. Hata hivyo sijasema wahusika wanaishi wapi, kwa maana hiyo sijaingilia privacy yao.
 
kwahiyo ajabu hapo iko wap?

hajapendwa a.k.a jamaa ni wa mpito kwanini awe na taarifa kamili?
sidhani kama bidada kakosea

utatuelewa tu taratibu...

Mimi nikidhani mwili unakuwa offered tu kwa mtu ambae anastahili to some extent (and that some extent ina maana ya kufahamiana zaidi)! Sidhani kama nitaelewa, this is beyond my simple mind to comprehend!
 

Yaani hilo tu ndilo linakufanya useme unashindwa kuwaelewa wanawake..... Please be serious!
Mimi nilidhani ni jambo la kustaajabisha amefanya huyo mdada kumbe issue yenyewe ni majina tu...

Hilo swala la kuwa na majina tofauti kati ya mtaani na kazini siyo issue ya kushangaza mpaka ufungue uzi, kumbuka tunayao majina ya kimila na majina ya kubatizwa na majina ya kusomea, sasa inategemea huyo aliyemfahamu alimfahamu kwa mazingira ya kanisani, Msikitini, shuleni au mtaani alikokulia.

Kuna binamu yangu mtaani anajulikama kwa jina la Zunda, kazini kwake anajulikana kwa jina la Fadhiruni na shule aliyosoma alikuwa anajulikana kwa jina la Kalunde sasa huyu naye utashindwa kumuelewa? na mpaka leo wapo baadhi wanamfahamu kwa majina hayo na yeye wala hana tatizo lolote.
 
The woman is a who.re, gold digger and a prostitute!
 
kwahiyo ajabu hapo iko wap?

hajapendwa a.k.a jamaa ni wa mpito kwanini awe na taarifa kamili?
sidhani kama bidada kakosea

utatuelewa tu taratibu...
Hapo unaona umeongea kitu cha maana!

siku jamaa akijua halafu nae akaamua kujiafanya hajui halafu aje amfanyie kitu ambacho si cha ki-bini-adamu itakuaje? Si mnakuja kulia huku ohohoo wanaumewakatili?

Acheni kucheza na feelings za watu, we unajibu tu huangalii upande wa pili...what if jamaa yeye anachukulia uhusiano huo very serious?

Grow up bhana acha kuwa bias hivyo!
 

Lakini hayo ni majina halali si jina bandia! Naelewa kuna majina ya kusomea, ya kimila, ya kidini n.k., lakini ajabu (at least to me) ni mtu kuwa na uhusiano wa mapenzi on misleading identity! Angekuwa mdada ni comfort girl ningeelewa, lakini ni wa kawaida na heshima yake ya kawaida mtaani na kazini! Is that normal to you sir?
 
wee mradi unanielewa mie basi inatosha

Jamaa yako ni spea tairi ya muda mfupi tu, ataachwa soon.
 
Sasa ndugu yangu unataka uwaelewe wanawake wengine ili ugundue nini? Wa kumuelewa ni mke uliyeumbiwa na BWANA Mungu tu,apart from her huwezi kumuelewa mwanamke yeyote kwa sababu hahusiani na wewe/hana muhuri wala chapa yako,kwanini kujipa stress kirahisi namna hii? Just relax!,deal with what belongs to u,Usiumize kichwa!
 
Humu ndani ck hizi kumepoteza mvuto kabisaaaaaaaaaaaa!!!
 
Kabla hujaji expose unaangalia kwanza hiyo chapa yenyewe,,, zingine hazitakiwi kukuelewa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…