Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,388
- 11,879
Out of topic kidogo: Baadhi ya watu wanasema ukiianika juani (condom) baada ya muda funza funza wataanza kutoka. "sijajaribu lakini"
Ni wachache sana walioweza kutoa ushauri mzuli, wengine wote waliocomment kwenye hii post mda huu ni wapumbavu tu.
Mtu akiomba aelekezwe jambo fulani haina haja ya kuongea ujinga ujinga, kaa kimya kama huna point! By the way thanx kwa waliotoa mawazo mazuri