Nashindwa kumdai

aisee kuna vidume vi dhaifu kumbe????????

yaani pesa yako unaogopa kudai

yeye kama sistaduu wa kweli angekopa????

duh...

usikute vidume vya kweli vinamlamba huyo dada bureee kabisa
 
Nachukia kumkopesha mtu sana coz kudai huwa nashindwa kama wewe
pole sana na ndio umeshazimwa
 
nahisi nawewe unampenda ila ni "domo zeege".....pole sana
 
Kuna mmoja nilimkopesha laki wakati wa kulipa akanletea zawadi ya viatu nkamwambia kampe boyfriend wako ,nipe hela mm mangi bana!
 
umenikumbusha mtu namdai. pole sana watu wengi sana hawapendi kulipa madeni, ni kitu kinanishangaza sana, unakuta mtu hela anayo lakini kulipa halipi hadi umsemee mbovu mbovu na hapo mahusiano yanakuwa na dosari tayari. ila mkumbushe tu huenda kasahau
 
nahisi nawewe unampenda ila ni "domo zeege".....pole sana
<br />
<br />
ningekua namtaka,ncngejisumbua kuja kuomba ushaur huku jf,ningemalzana nae cku nyingi 2.
 
Assume umempa msela,mshkaj wako..tatizo unamuogopa,ooh cjui ni sister duu,atanisemea mbya kwa rafk zake,yote ya nin.had hapa kama hana tatizo bac keshakufanyia hayo unayoogopa.huna shida na hiyo hela wew..
 
<br />
<br />chukua ushauri huo wa spika.
 
Du mimi nilikuomba hela ukaninyima kumbe ulimpa yule dada! Aisee ndio nimejua leo, dont mind nakutania wala hatufahamiani. Lakini kitu cha msingi kwa maisha ya sasa usimwamini mtu yeyote katika fedha, kama hutaki kukorofeshana mtu ni vyema usimkopesha. Lakini kumbuka ukiwa mchoyo usiwe mroho yaani nina maana kama haukopeshi wenzio na wewe basi usiwakope. Kwa huyo dada wewe msamehe lakini utakuwa umeshamjua, lakini kuwa mwangalifu sana vijana wa siku hizi wanatamaa sana kwa wakati mmoja anataka awe na gari, nyumba, laptop, simu ndio maana hata walipwe vipi hawatosheki.
 
........kama vipi mwandikie barua,nadhani aibu zako zimezidi
 
Sheria ya kukopesha ni kopesha kiasi ambacho upo tayar kupoteza.
 
kama umeshaikosa vile
nb:
ukimkopesha mwanamke ni ngumu kukulipa unless aamue yeye mwenyewe kukulipa
assumptn:
marafiki, mmoja mwanaume na mwingine ni mwanamke
ushauri

  • fikiria njia nyingine ya kupata thamani ya hela yako/zako
  • wakati unataka mkopesha m2 fikiria uwezo wa kulipa, uaminifu, dhamana, matumizi nk.
  • usitafute umaarufu kwa kukopesha
  • amua kusaidia kwa roho nyeupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…