cha ajabu mnatekenyana na kujichekesha wenyewe kama mashangingi flani hivi! ccm kweli chama chakavu na inahitaji akili ya maiti kuishabikia! poleni sana misukule ya lumumba,wote tunajua mnaganga njaa tu huko ccyem lakini rohoni mnaitamani sana CDM kimbilio la wanyonge
2015 ukombozi wa 2 utapatikana na nyie mtakombolewa,maana imeandikwa kuwa Mwenyezi Mungu huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki,wote sema AMEN!!!
Baki humu sisi m ndugu huko nje wanararuana
Walijaribu kutaka kuturarua sisi m lkn wakakuta tupo imara tuna maadili ya kichama, tuna vikao vyetu rasmi vya kukosoana
Walipoona hatusambaratiki wameamua kujirarua wenyewe
Baki ndg baki sisi m