habari zenu wanajamvi nomba msaaada wenu nina shindwa kudownload file kutoka katika tovuti ya secretariat ya utumishi wa umma lililo katika mfumo wa pdf, kila ninapo download halifunguki unakuja ujumbe unaosema file has been demaged na file lina ukubwa wa 2.8 mb lakini likiingia lina kua na kb chache sana. plz naomba msaada maana nashindwa kusoma majina tulio itwa kwenye usaili NAO. Asanteni wenu mtiifu ktk ujenzi wa taifa.