Jaribu kufuata hatua hizi.
(1) Uninstall kwanza hiyo WhatsApp yako ya zamani.
Kama haujui ku-uninstall zingatia hapa
Nenda setting>>select>>>Applications>>>select>>>Manage applications, hapa utaziona apps zako zote, bonyeza hiyo WhatsApp Inatuonesha Uninstall unaitoa.
(2) Nenda play store download WhatsApp nyingine.
(3)Baada ya ku-install jaza namba zako, usisahau kufanya back up ili urudishe msg zako za mwanzo, Kwa kuclick restore.