W wakomong'we Member Joined Oct 28, 2011 Posts 30 Reaction score 2 Jan 24, 2014 #1 ndugu zangu kuna kitabu nimedownload na kukisave kwenye PC yangu,lakini nikitaka kuprint nipate hardcopy ile print icon haiwi active kuniruhusu niprint,kitabu kiko kwenye PDF (secured) .Mwenye kujua naomba anisaidie.
ndugu zangu kuna kitabu nimedownload na kukisave kwenye PC yangu,lakini nikitaka kuprint nipate hardcopy ile print icon haiwi active kuniruhusu niprint,kitabu kiko kwenye PDF (secured) .Mwenye kujua naomba anisaidie.
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Jan 24, 2014 #2 Aliyetengeneza pdf ameweka restriction kuwa hataki uweze kuprint. unaweza jaribu Crack My PDF - Unlock PDF files online for free. Remove PDF Restrictions kuondoa ulinzi.
Aliyetengeneza pdf ameweka restriction kuwa hataki uweze kuprint. unaweza jaribu Crack My PDF - Unlock PDF files online for free. Remove PDF Restrictions kuondoa ulinzi.