Nashimdwa kuwaelewa wabongo

Nashimdwa kuwaelewa wabongo

Mmanyema

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
25
Reaction score
26
Kila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu limepinda

panua upaja mkwaju waja
 
Wala hauja download wimbo tofauti na izo zinazozungumziwa mitandaoni but kiusawa kabisa bila kupendelea ule wimbo wa wcb na ule wa kiba wa wcb ule wa wcb bonge la song yani

Aana hauchoshi kusikiliza, mbka kuitazama video yake na ukitaka kuamin now ule wimbo ni no 1 on trend YouTube

Kiba kasafilia promo za nyota ya mond tu kwa huu wimbo wake mpya

Sent using Jamii Forums mobile app[/URL
 
Hata mimi nimeshindwa kukuelewa mtoa mada
 
Mi mpenzi mtazamaji,maana mpaka inaboa sasa.
 
Kiba anaungwa mkono na Mange Kimambi ambaye ana zengwe na Mond...
Bongo muziki hovyoo kabisa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom