Kila mtu akifunga iki kifaaa itakuwa mwisho wa Wasiojulikana na pia mwisho wa watoto kuuliwa kwa iman za kishirikina.
Pia itakuwa salama kwa wanaharakati kupotea na kutekwa kwa watu na kupotezwa au kufa kabisa au kucheleweshwa kurudishwa.
Kuna kampuni knakamilisha utaratibi wa kuanza kazi.