Nashauri wanafunzi wa kidato cha sita(wasichana) wasipimwe mimba

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,475
12,633
Kwa nia nzuri. Nashauri mamlaka husika. Wanafunzi hawa waachwe wamalize shule salama.

Nafaham ni taratibu za shule nyingi kufanya hivyo pindi tu wanafunzi wanaporejea shule. Kwa mazingira ambayo janga hili limesababisha kuwapima itakuWa ni kuwaongezea mzigo mwingine wa mawazo na huenda wakashindwa kutulia kwenye mitihani yao. Wana siku 26 tuu.

Sina kiherehere... Ila kuna baadhi ya shule huwa zina viherehere vya kuwasumbua watoto.

Tuwaache Wamalize. Mkipima mtajuta.
By the way Wizara ilishakiri. PREGNANCY TEST TO SECONDARY STUDENTS IT IS NOT MANDATORY.

Karibuni kWa maoni.
 
Utawajibika kwa matendo yako, baada ya kutajwa Kama mhusika. Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdada ushamtia mimba changa??
 
Mimi shuleni kwangu nitawapima tu na watakaokutwa nazo wajiandae kufanya mtihani kama PC mwakani na sio mwaka huu tena never. Tuache ku-entertain Upumbavu ili tujenge kizazi bora na chenye maadili.
 
Mimi shuleni kwangu nitawapima tu na watakaokutwa nazo wajiandae kufanya mtihani kama PC mwakani na sio mwaka huu tena never. Tuache ku-entertain Upumbavu ili tujenge kizazi bora na chenye maadili.
Hao Watoto sio wako. Umeshakula ada yao. Waache waondoke.

Ni mali ya wazazi wao sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…