Nashauri uongozi wa klabu ya Simba siku ya kukabidhiwa kombe wachezaji watue/kuondoka uwanjani kwa helikopta

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
Ili kuweka historia ya Ubingwa wetu kwa mwaka 2018/2019 Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania ukodishe helikopta ambayo itawabeba mashujaa wetu na kuwatua katikati ya uwanja na baada ya mchezo na kukabidhiwa kombe.

Helikopta itarudi tena Uwanjani kuwabeba Mashujaa wetu na Kombe letu hadi liliko Basi letu. Tunaomba Helikopta hiyo ipambwe kwa Rangi za bendera za Klabu ya Simba.
 
Wazo zuri baada ya ukame wa miaka mitano! Bahati nzuri pesa ya Mo ipo tu kufanya lolote kama kukodi Chopper.
 
Back
Top Bottom