Nashauri, Tar 20 April, Simba SC, asiingize timu uwanjani, kutakuwa na udhalilishaji

Hao watu wengi ni kina nani? Wamefanya nini kuonyesha huo uhitaji? Unaweza taja watatu wa mfano?

Kuwa serious, Wanasimba tunataka timu iwe vizuri sio ipotee zaidi. Kama kuna mbadala wa Mo ambao ni bora tunautaka ila tusicheze bahati nasibu tukajikuta tumekaa miaka 4 na zaidi tukisubiri wa kuichukua nafasi ya Mo. Thus, kama kweli ww una hakika kuwa kuna mbadala wa Mo, embu jibu hayo maswali hapo juu.

Fuatilia speech ya Samia suluhu siku aliyozungumza kuhusu ishu ya Fei, kuna jambo alizungumza kwa GSM. Halafu utajua kuwa club haitengenezi mapato ya kutosha kuweza kujiendesha na inamhitaji mwekezaji. Yanga kabla ya gsm ilikuaje? Hapakuwa na kutembeza bakuli? Mapato ya timu yalikuwa wapi kuiendesha timu?

Kwanini miezi 6? Kwanini siyo miezi 2? Au mwaka 1 au miaka 5?

Sawa, ndani ya miezi miwili.
 
Kwa hiyo mnataka Mo auze hisa zake kwa lazima? Katiba ya Simba inasemaje kuhusu idadi ya wawekezaji
 
Sawa, ndani ya miezi miwili.
Natamani aje mtu anayesema Mo aondoke halafu atuambie wanasimba alternative plan inayoonekana itawork. Wewe umekuja na bahati nasibu. Mambo ya aondoke tuone. Empty words, kamari ambayo inaweza kweli ikawork ila isipowork ni anguko kubwa.
 
JF THE HOME OF GREAT THIKER.

Mtu amekaa kabisa na kutulia anakuja kuandika Pumba kama hivi????

LONG LIFE JAMII FORUM.
 
Natamani aje mtu anayesema Mo aondoke halafu atuambie wanasimba alternative plan inayoonekana itawork. Wewe umekuja na bahati nasibu. Mambo ya aondoke tuone. Empty words, kamari ambayo inaweza kweli ikawork ila isipowork ni anguko kubwa.

Abdel maleek ibnu Saad wa
 
Abdel maleek ibnu Saad wa
Ok, Hivi thamani moja hisa za Simba ni kiasi gani? Tujue Mo anadai fedha kiasi gani kwanza maana shida itaanzia hapo. Kiasi gani Mo alipwe.

Halafu huyu mtu natafuta profile yake siioni, unaweza tuwekea hapa. Maana ninayempata ni Sultan wa miaka hiyo ya Morroco
 
Sawa naileta ni TAJIRI MKUBWA ANAUZA MAFUTA ITALY AND FRANCE , yupo kwenye oil and food supply chain

Aliitaka Raja Casablancais wakambania kama unavoona katumbi alivosumbuliwa CONGO just for political
Issues
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ndugu wana SSC, kama mnavyojua timu yetu pendwa imeshapoteana na mpaka sasa haijulikani mkwamo upo wapi.

Kuna changamoto kuu 4 hazina majibu !

1. Career development ya timu haipo, kama mnavoona focus ya timu ipo kwenye matangazo na branding, na sio ubora wa timu

2. Binafsi, natamani Mo atolewe SSC, ili timu ijulikane haina muwekezaji and the right one will come, tupo kwenye comfort zone ya Mo , ndio inawatesa wana SSC. Binafsi uwekezaji wa mwamedi ninauona wa mchongo sana

3. SIMBA SSC Haina kamati ya Usajili, inakwenda kucheza na yanga iliyobora na imefuzu nusu fainal klabu bingwa lakini wakadhulumiwa.

Kwangu mimi Mamelody alitolewa and yanga has proven to be the best club in Africa. Best team na I am sure kama tukirudia game na mamelody , atafungwa bila wasi. Kwa sasa Yanga ndio timu kubwa Africa. Na kama Yanga angepangiwa na Al ahly basi leo hii Yanga ingekuwa ipo final . Kama sio Yanga kufanyiwa fitna, nina hakika 95% Yanga angechukua Kombe la Africa at the first opportunity.

4. Sijawahi kuwa na imani na uongozi wa wazee, hivyo Salim na mwenzie wakae pembeni, inawezekana tatizo lipo hapa pia

Anyway, my point ni SSC isiingize timu tar 20 , tutashuhudia aibu ya mwaka, this time zitapigwa 12 , Hasira zote za Dar Young Africans za kudhulumiwa goli halali la Stephan Aziz K watazishushia kwa SSC. Ninaona Benchika akitimuliwa kama kafara , lakini tatzo sio kocha, kila mtu anajua shda nini.
Wajiandae na 7G,na sio ile ya mashujaa goli moja na penati zake,ila ni 7G za uhakika na bila mawimbi wala mawingu pia bila mahitaji ya msaada wa VAR😝
 
Ndugu wana SSC, kama mnavyojua timu yetu pendwa imeshapoteana na mpaka sasa haijulikani mkwamo upo wapi.

Kuna changamoto kuu 4 hazina majibu !

1. Career development ya timu haipo, kama mnavoona focus ya timu ipo kwenye matangazo na branding, na sio ubora wa timu

2. Binafsi, natamani Mo atolewe SSC, ili timu ijulikane haina muwekezaji and the right one will come, tupo kwenye comfort zone ya Mo , ndio inawatesa wana SSC. Binafsi uwekezaji wa mwamedi ninauona wa mchongo sana

3. SIMBA SSC Haina kamati ya Usajili, inakwenda kucheza na yanga iliyobora na imefuzu nusu fainal klabu bingwa lakini wakadhulumiwa.

Kwangu mimi Mamelody alitolewa and yanga has proven to be the best club in Africa. Best team na I am sure kama tukirudia game na mamelody , atafungwa bila wasi. Kwa sasa Yanga ndio timu kubwa Africa. Na kama Yanga angepangiwa na Al ahly basi leo hii Yanga ingekuwa ipo final . Kama sio Yanga kufanyiwa fitna, nina hakika 95% Yanga angechukua Kombe la Africa at the first opportunity.

4. Sijawahi kuwa na imani na uongozi wa wazee, hivyo Salim na mwenzie wakae pembeni, inawezekana tatizo lipo hapa pia

Anyway, my point ni SSC isiingize timu tar 20 , tutashuhudia aibu ya mwaka, this time zitapigwa 12 , Hasira zote za Dar Young Africans za kudhulumiwa goli halali la Stephan Aziz K watazishushia kwa SSC. Ninaona Benchika akitimuliwa kama kafara , lakini tatzo sio kocha, kila mtu anajua shda nini.
Wasipo sikiza ushauri wako,itakuwa ni mwana kulitafuta mwanakulipata😁
 
Matokeo ya Yanga na Al Ahly 1-1 Dar es Salaam 1-0 Cairo au unazungumzia Al Ahly ipi ?
 
Back
Top Bottom