pisi jacky
Member
- Oct 21, 2020
- 32
- 141
Kuna kuibiwa na kupoteza na mtoto wa darasa la kwanza kumpatia vitu vingi sidhani kama vitarudi salama.Kuna aliyekatazwa?
Kama buti zipo nyumbani.. anavaa viatu vyake "vipya", buti anaweka kwa begi, akifika eneo korofi anavua anavaa buti, akifika shule anavaa "vipya" sioni tabu hapo dada 'pisi Jack'
Sio mwanangu plus nimeongea in general kwa sababu hii ni rain season afu uajabu wa wazo sijauona kama hujala mchana kaa kwa kutulia usije hapa na kelele hujaitwa.pisi jacky na wewe una mawazo ya ajabuajabu namna hii?
Sio kila sehemu mvua zinanyesha mpaka iwekwe sheria nchi nzima. Kama mwanao anapata tabu huko uliko bora umnunulie buti tu maana kama kuna matope kweli hawezi kuulizwa shuleni kwanini kavaa buti.
Mada yako inaonesha kabisa hujala mchana kweli.Sio mwanangu plus nimeongea in general kwa sababu hii ni rain season afu uajabu wa wazo sijauona kama hujala mchana kaa kwa kutulia usije hapa na kelele hujaitwa
Pisi kama Pisi.. wazo zuri sana hilo
Watakuambia ni elimu bureNingependa kuiomba serikali yangu tukufu na njema, kwa miezi hii ya Januari hadi Aprili watoto wawe wanavaa buti za plastic shuleni.
Iweke tu sheria ya buti nyeusi, kwa sababu katika kipindi cha mvua watoto hukanyaga sana maji machafu.
Leo nimekutana na katoto ka darasa la kwanza kamevua viatu kameweka kwenye begi kanakanyaga maji machafu mno, ukikauliza kanasema naogopa viatu vipya vitaloa hakawazi kuugua kanawaza viatu vyake.
So ningeomba serikali ingeweka tu sheria kuanzia chekechea hadi secondary miezi hii wanafunzi wavae buti la plastic, na bei yake ni affordable kwasababu madogo ni elfu tano na yale makubwa ni 9000 lakini kwa wanafunzi wengi wataishia saizi ndogo.
Naomba kuwasilisha hoja
Hey mambo dm plesMitaa yetu ni korofi zaidi ni udongo wa mfinyazi bila boot unazama, huku wanavaa.
Kwani kuna aliyekatazwa?Ningependa kuiomba serikali yangu tukufu na njema, kwa miezi hii ya Januari hadi Aprili watoto wawe wanavaa buti za plastic shuleni.