Nashauri iitwe Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii

magiri

Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
40
Reaction score
21
Wizara zilizoundwa na Rais wa awamu ya tano baadhi yake kwangu Mimi zinatamkika vibaya na hazina utamkaji wa kisayansi. ( They are not scientifically arranged).

Kwa mfano wizara kama ya afya, usitawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto ingeitwa tu wizara ya Afya na usitawi wa jamii.

Jinsia, wazee na watoto ni mambo yanayofungwa yote kwenye Ustawi wa Jamii na ingetamkika kisayansi zaidi.

Kuna jina hapa refu na sidhani kama linavutia kulitamuka.Wizara ya Nape nayo in ndefu sana.Ilifaa iitwe tu wizara ya habari, utamaduni na michezo.Wasanii wako kwenye michezo hiyo hiyo.Kuongeza wasanii kama ilivyo jina la afya------------, ni nzuri kisiasa maana itaonekana kuna watu wamepewa wizara nao (political correctness) lakini siyo sawa kisarufi na kimwonekano. ( it isn't grammatical and scientific correct).

Nionavyo mimi baadhi ya majina ya wizara yafanyiziwe kazi ili yatamkike na yaonekane vizuri.

Nawasilisha!
 
ACHA KUREMBA

NDEGE IMESHAPAA SASA HAPA NI KAZI TU.

Queen Esther
 
majina kama hayo wanawake na watoto yanaweka kisiasa zaidi ili wanawake wajihisi wako nyumbani,
pia mimi nimepata mshangao wa wizara ya maji na umwagiliaji,.hii haingii akilini hata kidogo sababu maji yanakwendana na nishati na umwagiliaji ni wizara ya kilimo, i'm not sure, maybe i'm missing something
 
Uundwaji wa baadhi ya wizara umezingatia usimamizi wa kutatua migogoro kuwa ya Waziri mmoja. Nakumbuka ugumu uliokuwepo ktk kushughulikia migogoro ya kilimo cha umwagiliaji Mbalali. Kilimo na mifugo walikuwa wana Sera yao, Maji wana Sera yao, nishati ktk uzalishaji umeme wakawa na Sera yao.
 
majina kama hayo wanawake na watoto yanaweka kisiasa zaidi ili wanawake wajihisi wako nyumbani,
pia mimi nimepata mshangao wa wizara ya maji na umwagiliaji,.hii haingii akilini hata kidogo sababu maji yanakwendana na nishati na umwagiliaji ni wizara ya kilimo, i'm not sure, maybe i'm missing something

Tumepewa Prif Mbarawa! Kama uko sahihi vile
 
Wizara zilizoundwa na Rais wa awamu ya tano baadhi yake kwangu Mimi zinatamkika vibaya na hazina utamkaji wa kisayansi. ( They are not scientifically arranged).

Kwa mfano wizara kama ya afya, usitawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto ingeitwa tu wizara ya Afya na usitawi wa jamii.

Jinsia, wazee na watoto ni mambo yanayofungwa yote kwenye Ustawi wa Jamii na ingetamkika kisayansi zaidi.

Kuna jina hapa refu na sidhani kama linavutia kulitamuka.Wizara ya Nape nayo in ndefu sana.Ilifaa iitwe tu wizara ya habari, utamaduni na michezo.Wasanii wako kwenye michezo hiyo hiyo.Kuongeza wasanii kama ilivyo jina la afya------------, ni nzuri kisiasa maana itaonekana kuna watu wamepewa wizara nao (political correctness) lakini siyo sawa kisarufi na kimwonekano. ( it isn't grammatical and scientific correct).

Nionavyo mimi baadhi ya majina ya wizara yafanyiziwe kazi ili yatamkike na yaonekane vizuri.

Nawasilisha!

Najaribu kupanga herufi ktk plate number ya gari la waziri huyu!
W - AUJJWW

Khaaaaaaah
 
Maneno "Ustawi wa Jamii" nayo kidogo placement yake inachanganya. Ustawi unaolengwa hapa hasa ni upi? Ni kiafya peke yake? Kama ndivyo ni sahihi kuwa chini ya hiyo wizara otherwise, kuna mambo yatapelekwa kwenye hiyo wizara kimakosa. Ustawi wa jamii ni suala mtambuka sana.
 
majina kama hayo wanawake na watoto yanaweka kisiasa zaidi ili wanawake wajihisi wako nyumbani,
pia mimi nimepata mshangao wa wizara ya maji na umwagiliaji,.hii haingii akilini hata kidogo sababu maji yanakwendana na nishati na umwagiliaji ni wizara ya kilimo, i'm not sure, maybe i'm missing something

Kwani kuna ubaya gani? Usiangalie rangi ya paka, we jali anakamata panya.
 
Wizara zilizoundwa na Rais wa awamu ya tano baadhi yake kwangu Mimi zinatamkika vibaya na hazina utamkaji wa kisayansi. ( They are not scientifically arranged).

Kwa mfano wizara kama ya afya, usitawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto ingeitwa tu wizara ya Afya na usitawi wa jamii.

Jinsia, wazee na watoto ni mambo yanayofungwa yote kwenye Ustawi wa Jamii na ingetamkika kisayansi zaidi.

Kuna jina hapa refu na sidhani kama linavutia kulitamuka.Wizara ya Nape nayo in ndefu sana.Ilifaa iitwe tu wizara ya habari, utamaduni na michezo.Wasanii wako kwenye michezo hiyo hiyo.Kuongeza wasanii kama ilivyo jina la afya------------, ni nzuri kisiasa maana itaonekana kuna watu wamepewa wizara nao (political correctness) lakini siyo sawa kisarufi na kimwonekano. ( it isn't grammatical and scientific correct).

Nionavyo mimi baadhi ya majina ya wizara yafanyiziwe kazi ili yatamkike na yaonekane vizuri.

Nawasilisha!

Duh! Kwa nini watu mnakuwa wabinafsi na wamimi namna hii? Yaani kwa kuwa kwako hayo majina hayajakaa vizuri basi yabadilishwe? Sasa Tuko Watz zaidi ya milioni 40 kama kila Mtz akitaka Wizara iitwe anavyotaka yeye Raisi atakuwa na kazi nyingine ya kufanya kweli?

Acha kupoteza muda kwa mambo yasiyokuwa na msingi jina la Wizara linasadia nini? Hata kama angeita Wizara 1,2,3,... bila ya kutaja Jina la Afya au sijui Maji nini kingebadilika ?
Cha muhimu hapa ni hizo Wizara zinafanya kazi na kutoa matokeo tunayoyategemea? Hilo ndilo swala la kujadili na siyo Jina la Wizara!

mtoa uzi lazima ujue kuna tofauti ya ustawi wa jamii na maendeleo ya jamii.wizara ya afya inaendana na ustawi wa jamii(social walfare),watoto,wazee,wanawake,walemavu ni maendeleo ya jamii(social development)jenga point yako hapo
 
Back
Top Bottom