Ningependa kushawishi ilani ya ccm ibadilishwe kidogo katika uundaji wa mahakama ya ufisadi.
Badala ya kudeal na ufisadi pekee ni vyema ikagusa masuala ya ukwepaji kodi.
Suala hilo liko indonesia nchi inayokuwa kiuchumi kwa kasi.
Mafisadi mwaka huu mnakazi na hao mafisadi wenu lazima mfungwe kwakweli mmeibia sana watanzania huyo fisadi wenu Lowasa atapata wakati mgumu sana lazima aende segerea tu.We mngese unapoteza mudawako bure tu. Kila saa kuanzisha nyuzii kuponda ukawa..ujue kazi unayofanya productivity ni zero, hakuna means ukawa hata mmoja utakaefanikiwa kumbadilisha
Kwani tangu uachwe hujarudiwa tena yawezekana hili nalo linakuvuruga sana kwenye kichwa chako lakini tabia yako ndiyo ilikuponza.Amakweli wewe ni Jinga lao. Kwani umeambiwa ufisadi hapa Tanzania unasababishwa na kuto kuwepo kwa mahakama ya ufisadi. Au ni utafiti upi ulitoa taarifa hiyo!? Ufisadi wa tz ni wa kimgumo ni institutionalized corruption na dawa yake ni kuungoa huu mfumo na pia kuweka mfumo mpya chini ya katiba iliyo tokana na rasimu ya Warioba. CCM lazma ing'oke kwanza ili tusonge mbele kama taifa.