Nashangaa atakayewaamini viongozi wa CHADEMA

babutz

Member
Dec 24, 2016
68
80
kp.jpg

Mwaka 2006 Chadema walipiga kelele nchi nzima ya kuwa Lowassa ni fisadi na mwaka 2008 Lowassa alijiuzuru kwa kashfa ufisadi wakaendelea kumsakama kuwa lowassa fisadi mpaka august mwaka 2015,baada ya august 2015 wakabadilika na kuimba nyimbo mpya kuwa Lowassa sio fisadi, na ni mtu safi kabsaa na wakampa zawadi ya kugombea urais kwasababu serikali ya CCM haikumpeleka Mahakamani, is it politics or polikicks??

Mwaka 2016 wakaja na oparesheni ya UKUTA yaani walikuwa wanatetea demokrasia nchini ila December 2016 walikanyaga demokrasia ndani ya chama kwa kumuondoa bw Patrick Ole Sisopi siku ya kupiga kura ndani ukumbi na wakatangaza kupitia naibu katibu mkuu bara kuwa chadema itakuwa inafanya uchaguzi wa ndio au hapana nchi nzima ili kuepusha mpasuko ndani ya chama, is it demokrasia au domokrasia??

Mwaka 2005-2015 wapinzani walikuwa wakisema Magufuli ni Jembe kwa kuwa kasimamia maendeleo lwenye wizara zake kwa umahiri mkubwa na mafanikio pia wakamsifu kwa kuwa mkweli na asiye bagua, Jana yule anayesumbuliwa na mwezi mchanga mchanga(Lissu) anasema eti tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea, duh. Rais anayehimiza watu kufanyakazi,anayewapa wananchi huduma bora za kijamii, anayetupeleka kwenye uchumi wa viwanda, anayefufua viwanda na mashirika yaliyokufa na anaeyewaambia wananchi ukweli eti ni rais wa ajabu…is it propaganda au propagundu??

Katika kikao cha bunge cha Novemba 2016 wabunge wa upinzani, Lwakatare,Zitto kabwe, heche nk walisikika bungeni wakisemam kuwa serikali iondoe zuio la wananchi kuuza chakula nje ya nchi kwa kuwa wasipofanya hivyo mazao yatawaozea wakulima,, miezi miwili baadae wanasema kuwa Rais atangaze baa la njaa nchini wakat mikoa ya nyanda za juu kusini,kanda ya kati,Zanzibar,kanda ya kaskazin, kanda ya ziwa, kanda ya mashariki na magharibi vyakula vipo vya kutosha, wakat huo huo kuna mbunge anasema eti vyombo vya rais vinamdanganya, ndo kusema zito kabwe anavyombo vya usalama zaid ya Rais,,hizi siasa za matukio zinawamaliza wapinzani..

Wapinzani acheni siasa za matukio wahamasishen wananchi wafanyekazi kwa manufaa ya ustawi wan chi yetu.
 
View attachment 459460

Umemaliza?

Tuma salamu kwa jpm
 
December 2015,Mbowe alinukuliwa akisema Magufuli ameiba sera za Chadema,kila afanyacho anaiga chadema!
Sasa hivi wanatuambiaMagufuli ni dikteta

Ni sawa na wewe tukikukuta kwa Mzee wa Upako unashusha mapambio leo tutakuita mlokole lakini kesho tukakukuta pale Corner bar unajiuza tutakuita tena kahaba. Hivyo kama wiki mbili za kwanza alionyesha utendaji ulio kwenye sera za Chadema lazima tuseme hivyo. Ila akiziacha kama ilivyo sasa lazima tuseme kama alivyo.
Hata hilo huwezi kuelewa? Shule ulikuwa unasomea ujinga nini?
 
Yaani UVCCM mmekosa kabisa vya kuandika mmebaki kuokoteza tu, hivi huko hakuna kabisa vijana wenye uwezo mkubwa wa kufikiri?

Mnatia aibu kwakweli.
 
Ni sawa na wewe tukikukuta kwa Mzee wa Upako unashusha mapambio leo tutakuita mlokole lakini kesho tukakukuta pale Corner bar unajiuza tutakuita tena kahaba. Hivyo kama wiki mbili za kwanza alionyesha utendaji ulio kwenye sera za Chadema lazima tuseme hivyo. Ila akiziacha kama ilivyo sasa lazima tuseme kama alivyo.
Hata hilo huwezi kuelewa? Shule ulikuwa unasomea ujinga nini?
lowassa amekuwa lini malaika?Kumkata sosopi kumeandikwa wapi kwenye katiba ya chadema?Kata funua tulioahidiwa ipo wapi?Tulipewa wiki moja tu Saa nane apatikane,vinginevyo uongozi wa chadema utachukua hatua kali
Kwa ufupi chadema hawaaminiki kwa kauli na matendo
 
Back
Top Bottom