Mbona wataka kuleta vita sehemu iliyo na amani tele...?Naona Deo Kisandu leo kaja kwa jina lingine. Anachapia comment za mwendokasi aisee.
Peace bro.Mbona wataka kuleta vita sehemu iliyo na amani tele...?
Pamoja kamanda!!Peace bro.
Maalim Ponda aka Nash dagama saizi kawa rubani angani.Niponde nisiponde? Maalim Ponda...
Kutokana na safari zake za Ujerumani huwa namuita Nash Heinz-Rumenigge...Maalim Ponda aka Nash dagama saizi kawa rubani angani.
Anapanda mwewe kila iitwayo leo,Habari utazipatia Berlin,
Cologne, Ug Kampala.Juzi nilimsikia
Clouds fm sports Extra anachambua kwa uzuri kabisa kandanda huku akiichambua Bayern Munichen kwa marefu na mapana.
Mpishi Mkuu..
usiishi kwa kukaririMbona huo mziki ni medume tu siwaoni dada ni mziki gani huo bila ma antiy au ni ndondi za kulepwa na raha ya mziki ni kuwr na mix kati ya mvulana na kasichana ndo kunoga huko