Nipe shavu lako ni kubusu Leo.
"Ndio uko poa,
Hauna doa,
Unaupeo na akili za elimu ya juu unasumbua sana washambenga kitaa,
Kwa urembo wako uliojaa madahaa,
kuna mapedeshe wengi wanapanda madau,
navyokujua wewe kukupata sahau,tusiwachukie tuoneshe dharau,
Wamekosa majibu wanaleta nahau mara nash hivi mara vile.
Mambo unayonipa kama muziki wa bendi.
Nash mc- Homa imenizidia.