Princess21
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 272
- 266
Nasema na wewe kijana/mwanaume ambae hutulii na mpenzi mmoja. Wadada wote uliowahi kutembea nao hujaona wa kudumu nae?
Nakuja kwako wewe kidume unaejua kuacha mimba, huzitunzi wala nini na kuoa huoi, nini shida? Unakimbia majukumu wenzio wakutunzie? Alafu watoto wakikua uje kuwadai? Loo! Jipangeni upya wanaume nyie ni watu wazuri sana, tukisema tunaweza kuishi bila nyie ni UONGO mtupu, mimi binafsi siwezi kuishi bila mpenzi maana ni mrembo najitambua, lakini sija bahatika kukutana na yule mwanaume ambae anajua thamani yangu, athamini urembo na utu wangu. Kiukweli inauma mnooo but ndo hivyo tutafika tuuu!
Msinitukane nimefunguka vile naona ni sawa ktk hisia zangu! Love u all
Lengo la Uzi

Nasikitika warembo wengi hukimbiwa na wanaume sijui kwa nini? Wanaume hv nini hasa tatizo..au kuna kainferio feeling hapo? Pole princess..embu jaribu kuacha kuangalia urembo na elimu yako..bali mtegemee mungu foe the right prince.
Kuona unakosa Jamaa ujue unapenda sana hela alafu kitandani zero performance urembo cyo oja acha kujidanganya