Nasema kwaheri CHADEMA iwapo....


Na mimi naunga mkono hoja hata kama kuna kupasuka kwa chama acha kipasuke tutakijenga tena kwa muda mfupi tu ZZK atoke tena mapema
 
Ulanzi ukiunywa wakati wa jua kali lazima ukutoe barabarani...
Tafadhali tunaomba vielelezo vya mchango wa rambirambi.

Tunaomba uchanganue kwa majina ya wachangiaji na kiasi walichochangia kisha utuwekee jumla kwa Paundi.

Tunaomba pia uweke exchange rate na namna ulivyotuma na kama kulikuwa na makato.

Propaganda uliyoanzisha dhidi ya Msigwa imerudi kwako. Mjengwa na Msigwa wametoa vielelezo vyao.

Usipoweka vielelezo utakuwa umejichafua mwenyewe kwa propaganda za kitoto.
 

Umesema Yote Mkuu....sina la kuongeza.
 
sababu yako ya kwanza "Ni vigumu kuamini, lakini ni kweli kuwa sikuwa na ofisi Makao Makuu, sikupewa vitendea kazi kama magari, vipaza sauti na/au vyombo vya habari, na sikuwahi kupata taarifa yoyote ya kiutendaji toka Makao Makuu" Chacha Wangwe
 
Na mimi naunga mkono hoja hata kama kuna kupasuka kwa chama acha kipasuke tutakijenga tena kwa muda mfupi tu ZZK atoke tena mapema

we una mchango gani chadema...kubaki kwako ama kuondoka kwako hakuna athari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…