Je, ni matumizi mazuri ya ubongo kuwa au kutokuwa mwanachama wa CHADEMA kwasababu ya mtu mmoja?
Siko tayari kulala na Nyoka mmoja ndani, kisa tupo wengi ndani ya nyumba.
rudisha rambirambi za watu ulizotafuna.Ulanzi ukiunywa wakati wa jua kali lazima ukutoe barabarani...
HOJA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WA KASKAZINI, WACHAGA, NA SUALA LA DINI HAVITAMWACHA ZITTO WALA CCM IMARA KISIASA!... PIGENI DEBE SAANA ILI UDINI, UKANDA NA UKABILA UJENGEKE!... ZITTO aKIHAMIA CHAUMMA "UKIGOMA" NA UDINI WA CHAMA HIKI UTAONEKANA... AKIHAMIA CCM NI HIVYO HIVYO!... DHAMBI HII HAIACHI MTU!... CHAUMMA BAADA YA KUANZISHWA NA ZITTO SASA AMEMUWEKA MUHA MWENZIE NA MTU WA DINI YAKE HASHIM RUNGWE KUWA MWENYEKITI...
Wana JF, Mimi ni miongoni mwa vijana wengi ambao tunasubiri kwa hamu mustakabali wa siku 14 za maamuzi ya Kamati kuu ya CHADEMA kuhusiana na issue ya ZZK na wenzake.Siko peke yangu, tupo wengi. Siko tayari kuendelea kuwa mwanachama wa CDM iwapo Zitto atasamehewa na kuachiwa uanachama kwasbabu kuu 31. Alishindwa kututumikia katika nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu wa Chama (Miezi 7 haingii Ofisini), eti kiongozi, kiongozi wa nani?2. CCM wanasikitika sana Zitto kusimamishwa uongozi, hii nalo ni janga, na nia ajabu. Karibu CCM wengi wanamtetea, kuna nini?3. Dharau;- Kabla hata ya siku 14 kuisha, anakimbilia kwa wanahabari huku akipata sapoti ya CCM, duu. Kali zaidi ni alipoenda redioni, ka. Yaani anaidharau Kamati kuu, kwanini asingekaa kimya.Najua inawezekana kukawa na sababu nyingi tu, ila kwa mimi NASEMA;- Kwa heri CDM iwapo Zitto ataendelea kuwa mwanachama wa CDM.
Haya Kachukue malipo kwa babu Slaa.
Zitto asipofukuzwa chadema mimi nitachukua maamuzi magumu katika siasa za Tanzania,
Siwezi kukitumikia chama ambacho kinaamua kumkumbatia baradhuri na mzandiki kama Zitto,
Heri nikajiunge na chama cha bwana Dovutwa,
Ulanzi ukiunywa wakati wa jua kali lazima ukutoe barabarani...
Hawa vijana bana viroba na tindikali vinawatolesha sana akili,hivi katika ule waraka wa ushindi 2013,mbona matumizi mabaya ya fedha za ruzuku za chama na uendeshaji wake ambao unawahusisha watu watatu tu Mbona hawahoji?
naendelea tena mkuu unielewe.kutoka waraka wa ushindi 2013,na quote "inapofika ajenda ya masuala ya matumizi ya fedha huwa inarushwa na kusema tutaijadili kikao kijacho"kama hujanielewe nenda ukasome tena ule warakakama ndivyo,alishindwa nini kuhoji kwenye vikao halali wakati yeye ni mjumbe wa vikao vyote vya juu? Anapoitwa msaliti na mnafiki hawakosei! Rejea kazi/wajibu wa kamati kuu ni nini kwa chama? Maoni yake au ushauri wake alitakiwa aupeleke kwenye vikao na si kufanya siasa za kuviziana dhidi ya viongozi wenzake.afukuzwe tu na vijana wa mwanza tunaunga mkono.
Je ni CCM ,CUF au ni vibaraka ndani ya CDM wakiwemo wakuu wao kwa kuivunja kila nyota inayotishia uhai wa CCM au inayotishia wakuu wenyewe ?
Kila utakaemsikia kafukuzwa au kasimamishwa uwanachama ndani ya CDM ,sababu za undani utaziona ni kuwa ananyemelea kugombea nafasi nyeti na hivyo huwahiwa mapema asije akawaangusha wazee wa Chama.
Ukiangalia Chama kama CUF wale waliofukuzwa wote hakuna alietishia uhai wa viongozi wakuu nikimaanisha kuwaangusha katika uchaguzi ,wengi wameonekana kujiengua wenyewe haswa pale wanaposhindwa kiuchaguzi na wengine kwa maslahi yao binafsi.
Kuna akina Lwakatare huyu nae amehamia CDM yanayomkuta huko kila mmoja anayajua ,Tambwe huyu mchumia tumbo CCM wesha mtupa ,mwengine ni Shaibu Akwilombe hajulikani amepotelea wapi na wengine wengi ambao walikiacha chama cha CUF ,lakini umakini na umahiri wa CUF umeonekana ,hakukutokea mtafaruku wala chama kuyumba kama inavyoonekana kwa CDM ,CDM inakufa ila inajikaza kisabuni ,ukweli ni kuwa CDM imechafua ile sura ambayo ilikuwa wameivaa ya kuwa chama makini na chenye muelekeo wa kuongoza Nchi hii .lakini imekuwa kama iliyovamiwa na viwavi jeshi ,imesambaratika na joto la kuzidi kusambaratika linaendelea.
Aidha viongozi wakuu wa CDM wanatumika na CCM kuuwa umoja wa WaTanzania ndio ukaona hawang'atuki au wameng'ang'ania ukubwa ,sio kosa ila ung'ang'aniaji wao haukubaliki ndani ya Chama wanachodai ni cha WaTz wote
Leo CDM inakufa vibaya sana ,kifo cha ajabu japo hakuna kifo kizuri. Beggars cant be choosers walala hoi hawana haki ya kugombea nafasi za juu.:A S 103:
Ulanzi ukiunywa wakati wa jua kali lazima ukutoe barabarani...
Good comment, vipofu hawaoni kama CDM imeshakufa.!
Haya Kachukue malipo kwa babu Slaa.
Good comment, vipofu hawaoni kama CDM imeshakufa.!
ebo, umekuwa msemaji wa vijana wote chadema au Tanzania nzima?! na mie nasema ni kijana ila simsemei mtu - napenda kuona demokrasia halisi chadema tofauti na ya maccm! nataka kuona maelezo na vielelezo vya kutosha nijiridhishe usaliti wa zzk kabla sijamhukumu - kama kijana mwenye fikra huru nataka nijiridhishe pasipo na shaka bila ushabiki!!!!
Good comment, vipofu hawaoni kama CDM imeshakufa.!