Nasema kwaheri CHADEMA iwapo....

Je, ni matumizi mazuri ya ubongo kuwa au kutokuwa mwanachama wa CHADEMA kwasababu ya mtu mmoja?
 
Hiki chama karagwe wee wacha. Kumbe kule kumpatia kaadhabu kanachea viongozi kupendeka. Hatupendi uozo kuvumbikwa eti ni fulani. CDM mmejitofautisha na CCM na hii kete itatufikisha juu. Hakuna anayeupenda uthvbutu huu maana ni mfupa ulio washinda wao.
 
Humpendi Zitto kwakuwa CCM wanampenda duh! Basi na CCM wange m disown Kikwete alisifiwa na Mbowe na Shibuda
 
Je, ni matumizi mazuri ya ubongo kuwa au kutokuwa mwanachama wa CHADEMA kwasababu ya mtu mmoja?

Siko tayari kulala na Nyoka mmoja ndani, kisa tupo wengi ndani ya nyumba.
 
Think Tank za Mbowe, Msigwa,Lema,Machemli,Sugu na Mke Mporwa wa Brother Mushumbuz!
 
Nani kakudanganya kuwa chadema imekufa? Kamuulize Jakaya kuwa chadema imekufa? Bila shaka atakwambia kijana, jiandae kisaikolojia.....
 
Wewe chizi nini?? Eti Tundu Lissu hana miaka mitatu ndani ya Chadema!!! Au unafikiri alipopata Ubunge 2010 ndo kaingia cdm?? Kwa taarifa yako alishakuwemo kitambo
 
Unajipa moyo,eti!? Jiandae KUPAGAWA!Tunadelete viruses wote mliowapandikiza kwenye chama na bahati nzuri wengine wanajiengua wenyewe baada ya kugundua kuwa MM,MM2,MM3 tumeshawajua na tunaelekea kumjua MM30!

Jiandaeni kuwa chama cha upinzani 2015!
 

Mkuu mimitungi, nakuunga mkono 100 PC.
 
Zitto asipofukuzwa chadema mimi nitachukua maamuzi magumu katika siasa za Tanzania,

Siwezi kukitumikia chama ambacho kinaamua kumkumbatia baradhuri na mzandiki kama Zitto,

Heri nikajiunge na chama cha bwana Dovutwa,
 
mimi nilisema hivi sitakuwa mfuasi wa mtu ni takuwa mfuasi sera itikadi falisafa tupa mbali kigaragosi zitto kabwe mmk
 
Yaani mkimsamehe tu,naomba mnirudishie hela zangu za uanachama toka mwaka 2002,bora nikazinywee komoni kuliko kuendelea kuchangia chama kinachokumbatia wasaliti njaa!
 
mkuu sijawai kuona ata thred yako moja pamoja na kumkubali zz,ukimkaribisha avue gwanda whats up meeen
Kaka, unaulizia Maiti Mochware. Wanataka kumtumia akiwa CDM, baada ya hapo tupa kule.
 
Kwakweli hata mie ntajitoa. Roho watanzania wengi tunaangamia kwa kukosa maarifa mnalilia hela za ruzuku hizo sh mbili mmesahau hela zilizoko uswisi za mafisadi wa ccm na epa. Mbona tunakua wepesi wa kusahau na kukimbilia kuchoma office za cdm? Naongea na nyie wa mwanza. Ccm walipowakumbatia mafisadi bila kuwaadhibu mlimaind sn sasa chadema imeonyesha ukomavu wa kisiasa mnalalamika hatutaki chama kisichoweza kufanya maamuzi magumu. Na kuwafanya wengine miungu watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…