Nasema hivi, Mume anauma!

Mwanamke mwenye hekima huwa hashangai mumewe akimcheat ndivyo tulivyo haturidhiki na K moja

Mfano mzuri ni aliyekuwa raisi wa Marekani Bill Clinton kwa miaka 2 alikuwa akimcheat mkewe Hillary Clinton kwa kutoka na secretary wake.

Na mkewe Hillary alijua lakini hakujihangaisha na mambo kama hayo unataka kufanya wala hakudai talaka kwa sababu alijua ndivyo tulivyo mwaka huu ndoa yao inatimiza miaka 49

Uzuri ni kwamba wanaume tunacheat with no emotions ni tamaa tu ndio maana tukishamwaga tamaa zinaisha ila upendo wetu kwa wake zetu unabaki palepale

Men are polygamous by nature
 
Kutuletea UKIMWI au sio?? Kwanini mnakuwa hivyo lakini? Bora tusioane basi tujue both teams to score
Kuoa muhimu sana swala la watoto na malezi bora ni jukumu la wazazi wote wawili.

Kuhusu ukimwi not possible tupo makini sana na matumizi ya kinga wakati wote siwezi ua familia yangu kwa uzembe

Before sex vipimo kwanza tahadhari zote huchukulia na tukichepuka tunapiga tako tatu tu unaachana nae kabisa
 
Mume na mke nani anauma zaidi ?? Mdahalo mzito saba huuuu....
 
Zurie kwanini Usimwache huyo Mwanaume Malaya asiyeridhika? Au kwa sababu ana hela?
 
Kuna utofauti wa kula tu ukaondoka. Ila unajenga uhusiano kabisa mnakaa masaa 4 mnaongea, mnataniana, unamjua kiundani, shida zake unamtatulia…unfair kabisa
 
Hawezi kuwa na balaa zaidi yangu bwana. Hilo nalijua; basi tu wanaume ni fisi. Aaarghhh
Pole Mkuu, ila ningekuwa Kijana ningetamani sana kujua ni kiasi gani una balaa zaidi ya huyo binti wa 2000😜 bahati mbaya tumezeeka sasa 🤗

Ila sio vizuri kuanza kumfatilia Mumeo kiasi hicho, muhimu anakuheshimu na anajali(ndiyo maana hakuletei Ukimwi ndani).

Usitafute Presha na magonjwa ya moyo kilazima, wakati maisha bado ni matamu Mjukuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…