NASA's Kepler Mission Discovers Earth's 'Cousin'

NASA's Kepler Mission Discovers Earth's 'Cousin'

Hizo hisabu za light years ni miaka mingi sana ya kawaida. Hivyo inawezekana hiyo picha inayoonekana sasa ni namna ilivyokuwa zamani hiyo sayari, lakini kwa sasa tayari imebadilika kutokana na mabadiliko ya ki-geography.
 
kuna majaribio ya kumlaza panya kwa miaka kumi then anaamka,hii itasaidia kumlaza binadamu miaka kumi akiwa ndani ya chombo kinachosafiri kwa kasi ya ajabu kwa miaka kumi akishaamka atakuwa keshafika,,,,,,waswahili...eee....endeleeni kukwea minazi........
 
Back
Top Bottom