Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Hey! Atention!kama wewe ni single mother na kama unataka kuingia kwenye ndoa basi zingatia machache haya:
kwanza kabisa kabla mwanaume hajakutamkia suala la kukuoa huwa anakuwa na maswali mawili au zaidi juu yako.
1. Kwa nini umepata mimba nyumbani?
2. Kwa nini aliyekupa mimba amekukataa?
3. Kwa nini amemkataa hata mtoto aliye zaliwa?
Baada ya kujiuliza hayo maswali baadae anajipa majibu yasiyokuwa na usahihi bali atahitaji kuthibitisha kutoka kwako kulingana na tabia yako na mwenendo wao.
Majibu hayo ni kama haya:
1. Alikuwa kicheche yawezekana
2. Yawezekana anatabia njema lakn jamaa aliyempa mimba ndio alikuwa haeleweki.
3. Yawezekana alikuwa anadaka ovyo wanaume
4. Au yawezekana mhusika wa hyo mimba amesingiziwa tu.
Sasa hapo wewe dada ndio unatakiwa umwondoe wasiwasi huyo mwanaume ili akuoe bila wasi wasi kwa kufanya haya;
1. Epuka mazoea ya ovyo na wanaume. Yaani leo juma kaomba namba unampa, kesho Mgirik kakutania kidogo tayari umeshamzoea mpaka kuja geto.
2. Epuka kujifanya unazijua sana majina ya Lodge na mahotel na bei zake.
3. Epuka sana kuzungumzia mahusiano yaliyopita.
4. Epuka tabia ya kumfanya jamaa akuone wewe mwaminifu kwa kumwambia kila mwanaume anayekutongoza.
5. Epuka kuombaomba misaada hasa ile ya starehe kama, simu n.k
6. Epuka kumshawishi kwenda disco, mara kwenye mafiesta nk.
Ni hayo machache na mengne changanya na yakwako.
Cc KIKwete