Nasafisha Masinki

Nasafisha Masinki

Lisament

Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
7
Reaction score
7
Habari, naitwa Lisa ni binti nasoma chuo cha TIA mwaka wa pili. Nasafisha masink ya chooni ambayo yamefubaa na yenye uchafu sugu na kurudisha katika upya wake. Mikoani mkinihitaji naweza kuja. sinki moja Sh 7000
1139846
1139847
1139850
. Pia nasafisha tiles zilizokuwa na uchafu sugu na zilizo fubaa. Napatikana Dar es salaam.
MAWASILIANO :
0676868660
0756356570
0673504106
 
Huyu binti lazma apate mume fasta aisee, kwa karne hii binti wa chuo akasafishe choo wakati madanga wapo.

Jamani wake wa kuoa wife material bado wapo. Ni utashi wa kuwatambua tu mabaharia wenzangu.

Wealthy starts from identifying and solving society problems by charging a price! Thats Entrepreneurial thinking at its best.
 
Umeongea kwa uzito sana mkuu hongera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom