NASA wajanja sana


Hapa panahitaji visheti vya kutosha kuweza kumaliza hili birika la kahawa...
 
Asante sana
Asante sana Mkuu... Hili jambo ulilolizungumza hapa ni ukweli mtupu na mimi nakubaliana na wewe. Na huu wote ni mpango mchafu wa NASA kutudanganya sisi. Cha ajabu ni kwamba ukwelli wote huu upo kwenye Biblia, na Mungu ametupa akili lakini wengi wetu bado wanaamini kuwa Dunia ni mduara.

Ukirejea katika Biblia wakati wa uumbaji, tunaambiwa Mungu aliweka Firmament, ambayo hyo Firmament ni barafu kubwa imeifunika dunia. Hapo kwa maana nyingine sisi tupo ndani ya Dunia, na huwezi kutoka nje ya dunia kusema eti unaenda sayari nyingine. Ni Haiwezekani.

Hakuna mtu aliyewahi kwenda kutembelea sayari nyingine, na hilo haliwezekani kwa sababu mtu huwezi kutoka nje ya dunia. Videos za NASA zinazoonesha wapo sayari zingine sijui Mars ni uongo mtupu, kwanza huwa wanaenda kuzishoot chini ya bahari ili watudanganye sisi. Hawajawahi kufika huko nje wala kwenda space.
 
uganga wa kienyeji tanzania unazidi kuitafuna nchi hii ukiambataka na kumpongeza raisi mpaka ujenzi wa choo
 
Kinachonishangaza ni kuwa kwamba tunafichwa taarifa na NASA(wazungu) lakini hapo hapo unatuambia tutumie miundo mbinu Yao kama google na YouTube (kesi ya ngedere kwa nyani)kujiridhisha kwamba tunafichwa kifupi ni kuwa tafuta maarifa sehemu nyingine nje ya google na YouTube au research za wazungu labda kidogo utaaminika
 
Umbo la dunia ni kitu unachoweza thibitisha wewe mwenyewe
Ulisomeshwa ili iweje sasa.
 
Apongwezwe Samia kwa kuwa na wasomi kama huyu ...mama ana upiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…