NASA 'Unprecedented' mission to touch the Sun

MUGABE ALISEMA AFRICA WILL BE THE FIRST TO GO TO THE SUN................. AKAULIZWA NA MWANDISHI MBONA IT IS TOO HOT PALE MR. PRESIDENT.

AKAJIBU ... WE ARE NOT FOOLS, WE WILL GO THERE DURING THE NIGHT.
Hahaha
 
Hilo jaribio waoneshe live

Launch kubwa huwa wanaonyesha live. Lakini zilizopita ni cha mtoto ukilinganisha na hii.
Lazima itakuwa production ya karne, kurusha live muhimu.
 
Wakati Marekani wanaenda kutouch jua sisi bado hatujaweza kutouch madini, gesi na mafuta yetu ila hatujambo katika kutouch papuchi![emoji53][emoji53][emoji53]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848]
 
MUGABE ALISEMA AFRICA WILL BE THE FIRST TO GO TO THE SUN................. AKAULIZWA NA MWANDISHI MBONA IT IS TOO HOT PALE MR. PRESIDENT.

AKAJIBU ... WE ARE NOT FOOLS, WE WILL GO THERE DURING THE NIGHT.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…