huko juu inaonekana kuna planets kibao. Halafu ni possible kila star ikawa na system yake kama solar system tatizo vyombo vyetu bado havijawa na uwezo wa kuangalia distance za mbali kama star
aisee nadhani miaka 50 ijaayo! kama mtu ukivuta jiko(ukioa) nadhani honeymoon mweziniiiiiiiiiiii! kitchen party jupiter na maisha mnaenda kuanzia juani1 teh-teh-teh!:lol: