DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Hana mapenzi ya kuchukua maamuz kama hayoAny way, kama vipi jifunge vilipuzi kisha umwendeee umweleze kuwa unahitaji kumuoa na kama ikitokea amekataa basi washa vilipuzi vyako mbele zake then, unajilipua. End of the story.
Btw, wewe ni kilaza a.k.a gulagula.
Hana mapenzi ya kuchukua maamuz kama hayo
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Sasa na vile ana mawazo inakuwa kaazi kwelikweli[emoji3][emoji3] hizo story hataki kuziskia joo
Mna-chart>>> mna-chatMuda wote mliokuwa mna-chart ilikuwa mna-chart nn?
-ulijua imani yake mpaka ukampelekea biblia?
-mlikutania wapi? Kazini kwako,njiani,NYUMBA ni kwake.
-alikuandalia nn?
-zawadi yako aliipokeaje?
- mlipoagana alikusindikizaje?
Na alikuambia neno gani la mwisho.
-je,ulimualika akutembelee kama ndio alikujibu nn
Ahsante kwa darasa - Mna-chat√Mna-chart>>> mna-chat
poa ulijisahau kidogo mkuuAhsante kwa darasa - Mna-chat√
Word mkuu ame kuwa inspired na first sightjamaa nakuhakikishia hizi ni nyege tu kama huamin ngoja umkaze uone vile atakubore
Shauri yake mkuu anakuwa kama mvulanaataipenda hao hawaaminikagi asee
Hapana sio hajampenda sasa kumuona tu ndiyo akubali duu kama naye mwanaume anamjaribu je! Naye anataka kuwa na uhakika kama kapendwa kweli nampongeza dada kuwa ni mapema mnoYanii hapo bila kupepesa macho Huyo dada hajakupenda.