Akipita atajibu [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila kumbuka wenye visu vikali ndio walaji wa nyamaKiukweli sijamwelewa mtoa mada.
Naona kakutana na binti. Mwisho wa siku hajamweleza chochote ila anataka kumuoa huku furaha yake imepotea. Je alimtongoza mwanamke? Je mwanamke amempotezea baada ya kuonana? Ameniacha kwa hapo
Kabisa. Ngoja ajeAkipita atajibu [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila kumbuka wenye visu vikali ndio walaji wa nyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sina akili ya kukutana tu na kutongoza apo apo,japo nilisha sema nae na akajibu ni mapema sana, na mimi amekaa kwenye akili yangu adi nahisi kupoteza furaha yangu na ndo mana nauliza kipi nifanye nirudi normalKiukweli sijamwelewa mtoa mada.
Naona kakutana na binti. Mwisho wa siku hajamweleza chochote ila anataka kumuoa huku furaha yake imepotea. Je alimtongoza mwanamke? Je mwanamke amempotezea baada ya kuonana? Ameniacha kwa hapo
Mtongoze aidha akupige chini au muwe wote.Mkuu sina akili ya kukutana tu na kutongoza apo apo,japo nilisha sema nae na akajibu ni mapema sana, na mimi amekaa kwenye akili yangu adi nahisi kupoteza furaha yangu na ndo mana nauliza kipi nifanye nirudi normal
ndio uwe mstahmilivu sasaAkasema Mapema sana tutaona uko mbele itakuwaje
Duuuh uhakiki tena?
akipigwa chini sasa si ndo itakuwa balaa chaliiMtongoze aidha akupige chini au muwe wote.
Akili itamkaa sawa sawaakipigwa chini sasa si ndo itakuwa balaa chalii
Au kama vipi apotezee aanze maisha mengine, kumuwaza manzi saa nyingine utendaji kwa job utaisha budaAkili itamkaa sawa sawa
[emoji3][emoji3] hizo story hataki kuziskia jooAu kama vipi apotezee aanze maisha mengine, kumuwaza manzi saa nyingine utendaji kwa job utaisha buda