Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,358
- 6,077
Hii movie ni bora kwako wewe kutokana na mtazamo wako.Hii movie naweza irudia hata mara mbili ingawa unatakiwa uangalie the begining ndo uelewe final part
Yaan iko hivi jamaa anaitwa himura ni bwana mdogo tu lakini mwenye skills za juu kwenye samurai utumiaji wa panga na mapigano ya mkono
alichukuliwa na bwana kyasatu ili awe mmoja wa vijana wake na ndo ukawa mwanzo wa kuua wenyewe wanamwita batosai sasa alipewa mission ya kwenda kumuuwa bwana mmoja na kikosi chake jamaa akafyeka wote yaani akuachi upumue
Siku moja kwenye makazi anayoish huyu bwan na camp yake anaingia binti tomoe kupata huduma ya chakula baadae binti huyu akawa mfanyakazi wa hapo maaana kuna mgawa humohumo ndani lakini badae anakuja gundua binti ni spy na pia amekuja kwaajili kisasi cha aliyekuwa mme wake mtarajiwa alafu binti mwenyewe akampenda kweli mwmaba
Sisi wengine haya ma movie ya Kichina, Kijapan na Kikorea huwa tunayachukia balaa. Binafsi sijawahi kuona movie nzuri ya Kichina au Kijapani au Kikorea, zote huwa naziona takataka tu.