Narudia tena Rurion Kenshin ni movie bora kwa muda wote

Hii movie naweza irudia hata mara mbili ingawa unatakiwa uangalie the begining ndo uelewe final part

Yaan iko hivi jamaa anaitwa himura ni bwana mdogo tu lakini mwenye skills za juu kwenye samurai utumiaji wa panga na mapigano ya mkono

alichukuliwa na bwana kyasatu ili awe mmoja wa vijana wake na ndo ukawa mwanzo wa kuua wenyewe wanamwita batosai sasa alipewa mission ya kwenda kumuuwa bwana mmoja na kikosi chake jamaa akafyeka wote yaani akuachi upumue

Siku moja kwenye makazi anayoish huyu bwan na camp yake anaingia binti tomoe kupata huduma ya chakula baadae binti huyu akawa mfanyakazi wa hapo maaana kuna mgawa humohumo ndani lakini badae anakuja gundua binti ni spy na pia amekuja kwaajili kisasi cha aliyekuwa mme wake mtarajiwa alafu binti mwenyewe akampenda kweli mwmaba
Hii movie ni bora kwako wewe kutokana na mtazamo wako.

Sisi wengine haya ma movie ya Kichina, Kijapan na Kikorea huwa tunayachukia balaa. Binafsi sijawahi kuona movie nzuri ya Kichina au Kijapani au Kikorea, zote huwa naziona takataka tu.
 
Ludacris na Roman wanaenda kuharibu satelaiti. Angalia walivyoenda na kurudi duniani. Utacheka
Unaangalia movie mpaka unasikitika.
F9 the fast saga ni movie iliyojaa uongo kupitiliza. Eti gari ipo mtaa wa pili kisha inavutwa na sumaku inabomoa majengo na kunasa kwenye hiyo gari yenye sumaku. 😂😂😂
 
Kuna movie ukidownload unajuta kupoteza bando lako
Walikuwa wanaisifia Gunpowder milkshake, nilijuta kuipakua.
Napenda movie kama za IP Man au undisputed (boyka).
Nilikuwa na hamu ya kuona Fast & Furious 9 nione John Cena na Card B wanafanya nini mule. Ile Movie najuta kuipakua.
Unaangalia movie kama movie ya Mr. Bean yaani uongo mwingi mpaka unaboa.
Aise nilikuwa nacheka peke yangu utafikiri naangalia kichekesho, gari inapita kwenye kamba halafu gari inaharibika na hakuna aliyeumia.
Fast & furious 9 wameharibu sana.
walau gunpowder milkshake iko vizuri mzee
 
Hii movie naweza irudia hata mara mbili ingawa unatakiwa uangalie the begining ndo uelewe final part

Yaan iko hivi jamaa anaitwa himura ni bwana mdogo tu lakini mwenye skills za juu kwenye samurai utumiaji wa panga na mapigano ya mkono

alichukuliwa na bwana kyasatu ili awe mmoja wa vijana wake na ndo ukawa mwanzo wa kuua wenyewe wanamwita batosai sasa alipewa mission ya kwenda kumuuwa bwana mmoja na kikosi chake jamaa akafyeka wote yaani akuachi upumue

Siku moja kwenye makazi anayoish huyu bwan na camp yake anaingia binti tomoe kupata huduma ya chakula baadae binti huyu akawa mfanyakazi wa hapo maaana kuna mgawa humohumo ndani lakini badae anakuja gundua binti ni spy na pia amekuja kwaajili kisasi cha aliyekuwa mme wake mtarajiwa alafu binti mwenyewe akampenda kweli mwmaba
Umeziangalia hizi movie zote?.Maana ziko 5 nafikiri.
 
nlivoona uzi wako nkatoka speed ku download hizo mbili

kusema ukweli amna kitu humo
 
Wenzako wanatengeneza pesa wewe baki na mawazo yako magumu yakiafrika yasiyo na maana yoyote ulimwengu huu.

kutengeneza pesa kuna uhusiano gani na ubaya wa hio movie.

Movie ni mbaya whether wametengeneza pesa or not!

We kama kwako ni nzuri basi ni wewe, ila me nimeona ni takataka na hamna kitu utanifanya.
 
Mkuu hyo muv cjuh kwann jamaa wanaishupalia wakati ni mbaya+ mbaya+mbaya+MBAYAA
 
Wabongo Sijui mnarogwa na nani asee asa kama movie ujaipenda Complain zinakuwa nying kweli embu tengeneza yako Na sis tuje tutoe comment
Sasa nongwa iko wapi pale? Wewe umekuja kusema ni movie kali naye anasema ni movie mbovu, ukaanza masuala ya wao wanatengeneza hela. Wewe unayeitetea unatengeneza shilingi ngapi. Kwani lazima kila unachokubali kikubalike
 
kutengeneza pesa kuna uhusiano gani na ubaya wa hio movie.

Movie ni mbaya whether wametengeneza pesa or not!

We kama kwako ni nzuri basi ni wewe, ila me nimeona ni takataka na hamna kitu utanifanya.
Punguza mawazo mgando ndugu inaonekana uko kichwani una uji badala ya ubongo.Wewe endelea na dharau za kazi za watu wakati huna chochote unachokiweza zaidi ya kunya.
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom