Narudia tena: Ili CHADEMA ipone, Mbowe amwangukie Dr Slaa miguuni

Chama siyo cha Mbowe, Slaa, wala nani. Ni mali ya wanachama. After all, Slaa yuko CCM. Anahusika nini na CHADEMA? Viongozi watakuja na kuondoka, ila CHADEMA itabaki palepale.
 
Back
Top Bottom