Nappe katika siasa za Magufuli



Mwacheni Kikwete wa watu apumzike, maana anajua mwenyewe alikosewa wapi mpaka kumruhusu EL ampindue kwa dakika chache kwa kutumia pambio la chama cha TANU
 
Hizi ni ndoto tena unaota huku ukitembea. Membe apewe kazi Kwa sababu gani alipewa kazi tumeona utendaji wake ni wakati wa watanzania wengine kuona wanatoa mchango Kwa taifa lao. Jikite kuleta mada ambazo zitasaidia kuleta tija Kwa taifa letu badala ya kuleta hadithi za bunuasi na lazima ujue hao wote unaowataja hawana ubavu kwa kupambana na mh rais magufuli. Na 2020 penye uhai ndiye mgombea pekee wa chama cha mapinduzi. watu walioliyumbisha taifa hili hawana nafasi tena. Tumuunge mkono rais wetu john pombe magufuli na maadui wa ndani na nje.
 

Thanks kwa analysis yako ingawa sikubaliani nayo kwa asilimia 100...Ila nayaheshimu mawazo yako kwani yanafikirisha...Lakini kwangu mimi nguvu za Nape kisiasa zinakuwa exxaggerated...Membe kamwe hatakuja kuwa Rais...suala la baadhi kuwa against na Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais wa nchi halijaanza na Magufuli...Wakati wa JK na wakati uchaguzi wa 2010 ukikaribia wako waliojitokeza ndani ya CCM kueneza habari kuwa JK angekuwa Rais wa awamu moja...Hilo ni joto la uchaguzi...Magufuli hawezi kuongeza muda wa Urais...kwanza yeye mwenyewe hataki...ila ni kweli wapo wanaopenda iwe hivyo kwa kuwa wananufaika na utawala huu kwa kuwa wapo kwenye position....Nape is nothing na hana nguvu kihivyo ndani ya CCM...ni mpiga kelele tu...yaani ana guts za kupiga kelele...akiendelea hivi jina lake ni kweli litakatwa 2020 na huo ndio utakuwa mwisho wake kisiasa at least ndani ya CCM, labda aende upinzani...
 
Com ni nyumba iliyo jaa Kwa ushauri wangeweka mazingira yanayotoa equal opportunity kwa vyama vyote ili wengine wahamie huko,bila hivyo kelele na majungu havitaisha,kazi zao ni siasa hivyo waboreshe mazingira ya kisiasa
 
Kinachoniumiza mimi ni kwamba pamoja na ccm kuwa adui yao,chanzo cha umasikini wao na ufukara wao,watanzania wengi bado tumeshindwa kuujua ukweli huu na hivyo kuamua kuikataa ccm na watu wake na matendo yao,hata mtoa mada inaonekana bado wataka ccm iendelee kutunyonga either kupitia kwa membe au mtu mwingine
 
Hakuna kitu kama hicho, wana nguvu gani, hii nchi kila raia ana haki ya kutawala ndani ya chama na serikalini, muda wao umeshaisha, watulie.
Kama mimi ndo rais wakiniingilia nawazima mmoja baada ya mwingine!
Halafu jambo lingine mnawalisha maneno, wala hawana mpango huo
 
Membe hapewi kazi na Nappe asipojiangalia anakatwa.
 
Hii riwaya ina msaada gani kwa raia wa kawaida anaye hutsle pale Kariakoo? PhD pendwa at work
inamsaada mkubwa Sana kwasababu kinachojadiliwa hapa ni usalama wa nchi, kma haina tungengemano hiyo Kariakoo yako utaikataa ile.
 
Kwanini utawala wa JPM watu wanatekwa sana na kupotezwa hatakupigwa risasi,huyu ni muuaji hatu fai kabisa
 
Kwanini utawala wa JPM watu wanatekwa sana na kupotezwa hatakupigwa risasi,huyu ni muuaji hatu fai kabisa


Daudi alipomkabithi Sulemani mwanae madaraka alimpa na list ya watu wa kuua ili atawale kwa amani. Akiwemo kamanda mkuu na mahiri kabisa wa lilolokuwa jeshi mahiri la Daudi Sijui kama utanielewa. Wako watu ambao ni wa binafsi wa kupitiliza wako radhi kuzunguka Tanzania hii na kuwa hadaa watu na masinia ya wali maharage ili tu ufisadi wao uendelee.

JPM wewe ni Rais kwa sasa dhamana na hatima ya Watu zaidi ya 50million iko mikononi mwako na ulio waamini kukusaidia kuiongoza hii nchi. Lakini kikubwa zaidi hata hatima yako iko mikononi mwako mwenyewe maana watu ambao wanaweza kukukejeli na kukudharau kiwango hicho cha clip ukiwa Rais, Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi mkuu siku ukiwapa nafasi waka kutoa hapo kwa mikakati yao haramu sijui watakufanya nini?

Wala usitake kujibishana nao kwa maneno ya kisiasa na wala usiwape fursa ya kujua nini ni msimamo wako lakini shughulika nao kikamilifu na kizazi kijacho kikapate fundisho na huu uhuni usiwepo tena katika Taifa hili.
 
Tuwe wavumilivu
tuombe uzima
wakati ukifika tutaona hiyo nguvu ya wazee.
 
Wewe unajua hasara za magufuli kutoka madarakani kabla ya 2025? Acheni utoto wenu
 
Kwanini utawala wa JPM watu wanatekwa sana na kupotezwa hatakupigwa risasi,huyu ni muuaji hatu fai kabisa
Vipi kuhusu mwangosi, Dr Ulimboka, kubenea, Dr Mvungi,Dr juun Mwakyusa ilikuwa awamu ya ngapi maana nimesahau
 
Jee' kwenye chama hakitolewa huo uamirijeshi hata utoa wap tena,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…