jambo wapendwa;
Bila shaka nitaanza na nilivyo kuelewa juu ya suala lako.
Baada ya computer yako kua na tatizo hilo umeamua kutumia hhd hiyo kwenye computer nyingine lengo ikiwa ni kupata Data zako... lkn unapo hitaj kufungua file kutoka kwa drive hiyo.. unapata error message isemayo
"G:\Document and settings.Carthbert
Is not accessible.
Access denied.
"G:\Document and settings.Carthbert
Is not accessible.
Access denied.
...........................
kama ndivyo hivo,,, Hiyo inatokana na security parmission za hiyo computer nitofauti na ile yenye matatizo ... kutokana pia na account.
Hivo bac. . Hiyo pia inaweza tokea pindi ume fanya mounting of operating system na drive moja ukaiformat na nyingine yenye data muhim hukuiformat,, hivo bac lazima utahitajika KUIPA PARMISSION ili yule user huyo aweze access file hilo.,
Yafuatayo yanaweza saidia tatua tatizo hilo:
Fungua Drive yako, Chagua folder ambalo unahitaji kulifungua, kabla ya kulifungua, Ktk menu bar kuna sehem imeandikwa
"Tools", Click Sehem hiyo> Then .. select Folder Options> Itatokea Wizard> Select View> then Kutatoke List of options ,, Under Advanced Setting..Shuka chini Unaona sehem imeandikwa,,
Use simple files shairing (recommended).. Ondoa tick,
Baada ya Hapo... Chagua folder unalo hitaj fungua. fanya yafuatayo:
Right click the folder>
Properties> then Select Security from the next Wizard> Then Select
Advanced , > Then Window nyingine itatokea, On the
MENU BAR select
OWNER, Utaona List ya user ambao wapo kwa hiyo computer chagua user ulie mtumia ku login kwa computer yakoi hiyo. Then Chini yake kuna sehem imeandikwa
REPLECA OWNER ON SUBCONAINERS and objects. Weka tick hapo, then APPLY. Then wait for sometime .. After the process end, press OK.
Ikiwa umefanikiwa kuacess DATA ZAKO....
Tatizo la Bruescreen of dearth is to repair your HDD,
Leongo langu Ni Uweze kufungua data zako, Ahsanta.
Bila shaka bado tupo pamoja kuelimishana kama umefanikiwa Rudisha majibu kama laa pia rudisha majibu!
Hivyo nikutokana na namna nilivyo elewa tatizo,,,
Otherwise kama hiyo ndio shida yakoa na umehisi taabu kufuata maelekezo hayoo, email:
rancotz@hotmail.com