Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
Pole Mkuu, lakini laptop ni individual property kwahiyo iwe ya kwako peke yako. Ila pia inawezekana kufa kwahiyo motherboard kulianza siku nyingi labda wewe hukugundua. Liliwaho kunitokea hili. Motherboard zipo na zinauzwa hata ebay wanaziuza kutegemea na aina ya computer yako. Hapo ulipo nenda kwa fundi wa computer mzuri ataweza kuback up data zako zote. Kisha utachagua hiyo laptop uitupe au uitengeneze.Habari ya siku mingi wana JF ? nimepotea kwa mda kidogo kutokana na majukumu...
Wakuu jana usiku nilikuwa officen napiga job, akaja mafanyakazi mwenzangu akaomba afungue flash yake kwenye laptop yangu, nilimpa na baada ya kuichomeka nilisikia mlio flani hivi toka kwenye motherboard ya laptop yangu.... alipo maliza kazi yake nilirudi kuendelea na kazi zangu... ghafla ilikuja blue screen ikiniambia ni shutdown mashine yangu mara moja, hapo hapo ikajizima yenyewe na nilipoiwasha tena nilikutana ma ujummbe huu
"SMART Failure Predicted on hard Disk 0: TOSHIBA MK8025GAS- (PM)
WARNING: Immediately Back_up your data and Replace your Hard disk Drive. A failure be Imminent.
Press F1 to Continue"
Nilipo jaribu ku press F1 iliniletea Option hizi
login Safe Mode au last good configuration,
nilichagua safemode ilichukua kama dakika 20 bila kufunguka ,pia hivyo hivyo kwa last good configuration...
Nimeitoa HD na kuweka kwenye Case ya Ucom mobile 2.5 kama external disk imefunguka vizuri tu ila napotaka kuingia kwenye user flolder ambalo ndiko kwenye files zangu zote ina goma kufunguka na kutoa MSG
"G:\Document and settings.Carthbert
Is not accessible.
Access denied.
Wakuu nimechanganyikiwa mno maana kuna report natakiwa kuziwasilisha kesho.
Masaada tafadhali.
Halifunguki kwa kuwa Folder it fall under OS ya kwenye hiyo drive, here is solution Take ownership of that folder follow this step
1.Right Click folder ambalo unataka kulifungua
2. Choose Proparties utaona Tabs eg. General, Sharing, Security and Customize
3. Choose Secutiry and the hi-lite Administrator
4. Click Advance Tab
5. Hi-Lite Administrator and click Tab hapo juu ya Owner
6 . Hi-lite Administrator and tick Repalce owneron Sub........
7.Finish by clicking OK, it will take time and it depend on size of data you have on that folder, when it finish you free to open your folder
Thanks
Pole Mkuu, lakini laptop ni individual property kwahiyo iwe ya kwako peke yako. Ila pia inawezekana kufa kwahiyo motherboard kulianza siku nyingi labda wewe hukugundua. Liliwaho kunitokea hili. Motherboard zipo na zinauzwa hata ebay wanaziuza kutegemea na aina ya computer yako. Hapo ulipo nenda kwa fundi wa computer mzuri ataweza kuback up data zako zote. Kisha utachagua hiyo laptop uitupe au uitengeneze.
-Double click my computerAhsante sana kiongozi kwa ushauri wako... nimefanya hivyo na sijafanikiwa,niki Choose Proparties nakutana na tabs 3 tu ambazo ni General, Sharing, Customize....Security Haipo....
-Double click my computer
-Click tools
-Click folder options
-Click view tab
-Scroll mpaka mwisho
-Click use simple file sharing (Recommended) yaani toa tick
halafu fata maelekezo ya Mzalendo80 hapo juu
let me try.Choose 2nd user
View attachment 20577
Hapa sioni Admin user name ambayo ilikuwa kwenye laptop yangu... nimejaribu ya juu na yachini na kufauta maelekezo ya mzalendo imegoma wakuu.....
Wakuu naomba msikkate temaa ya kunisaidia tafadhalini.
jaribu kubadilisha cable....View attachment 20580
Ime goma na kuleta MSG hiyo hapo juu....
Je wakuu naweza kutumia Linux mint,ubuntu 10 or Fedora 11? mwanzoni nilijaribu kwenye Ubuntu 10 ikagoma ku a-mount kwa sababu nilipo kuwa naitumia kwenye XP nilitumia Safely Remove ikagoma nikaishomoa kwa kuilazimisha....
Sasa naona imetulia je naweza kuiremove then nikaenda kwenye ubuntu 10 na kuziona data zangu?
Umenena Mkuu... sio cable tu nadhani hata Case yenyewe ya Ucom Mobile ni kimeo japokuwa ni mpya... nasema hivyo kwa sababu External drive yangu ya mwanzo ilikuwa unaweka data vizuri tu bilashida, ila baada ya case yake kufa na kununua hii imekuwa inaharibu baadhi ya mafile....jaribu kubadilisha cable....