Napotea Huku Najiona Ila Nashindwa Kujiokoa!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,301
8,697
Daah nimebadilika sana ile self control niliyokuwa nayo miaka yote imeisha.....nmeanza kuzoea matusi kuwa lugha ya kawaida kwangu sasa sio maneno tu hadi vitendo sasa vinaashiria Napotea!
Nisaidieni Mwenzenu Mkiniacha Napotea na Nategemewa na wengi Mno tofaut na Nchi!
Ila idea yangu ni kwamba Mwenzenu Napotea Nisaidieni Kama si Tabia kubadilika Huenda Basi ni Pepo Chafu Linaniandama!
 
Tuache kumsingizia pepo kwa uzinzi wetu.
Wewe mwenyewe hapo ni pepo mkuu.
Haaahaahaa. Nami naona nimebadilika!!! Nisaidieni jamani, nifanyaje?
 
Chukua hatua kama unaona unapotea na kwa kuwa umeshajua kua unapotea then "angalia opportunity kwa tatizo lako tumia kama advantage yako'' na uchomoke huko.
 
Kwanza fanya uhamuzi
Pili chukua hatua kivitendo.
Kubali kuteseka kwa muda kipindi cha mpito ili kuvunja uteja huo
Ni vizuri kupata supportive group/ people where u could b responsible to them.

Ni jambo serious but is not impossible.
 
Kwanza fanya uhamuzi
Pili chukua hatua kivitendo.
Kubali kuteseka kwa muda kipindi cha mpito ili kuvunja uteja huo
Ni vizuri kupata supportive group/ people where u could b responsible to them.

Ni jambo serious but is not impossible.
ahsante sanaa
 
Hahahahaaa maths kuwa meng ni njia ya kuepuka stress ni kawaida humkuta kula MTU ambaye anahis anatatizo lakini halijui au analijua lakini anajifanya halijui self control haiwez fikiwa endapo una internal weakness nahii hutokana na kuwa weng tunapoteza ile strength katika iman ambazo mwanzoni tulikua nazo
Kwa hakika ukitaka kurudia halo yako inabd ujifanyie counseling jarib kujikeep busy kama muislam tafuta darsa kama mkristo hudhuria ibada za jion nna hakika utarud kama zaman na utakua zaid ya zaman
Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom