Hicho kibandiko chako mbona sijakiona!!Wadau vipi nimefanikiwa kuweka ichi kibandiko? Maana ndio Mara yangu ya kwanza kufika humu...
watakuwa washambandua!Hicho kibandiko chako mbona sijakiona!!
Aisee..!!Wadau vipi nimefanikiwa kuweka ichi kibandiko? Maana ndio Mara yangu ya kwanza kufika humu...
Du unaanza kwa mcharazo angalia greater thinker hawana HurumaWadau vipi nimefanikiwa kuweka ichi kibandiko? Maana ndio Mara yangu ya kwanza kufika humu...
hahaha kwahio yuko wazi sasahivi mkuu?!watakuwa washambandua!
Omba ruhusa kwa admin na atakupa maelekezo na kiasi cha malipo kwa kila madaWadau hivi mimi nikitaka kutoa mada/uzi ninafanyaje?
Wadau hivi mimi nikitaka kutoa mada/uzi ninafanyaje?
Njoo chemba nikupe namba ya Mpesa utume hela ya maombi na gharama ya awali.Wadau hivi mimi nikitaka kutoa mada/uzi ninafanyaje?
Wadau washakibandua hakipo tena.Karibu sana japo umeanza vibaya, kibandiko chenyewe kiko wapi Sasa?