Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,392
- 289,522
Siteseki , lakini litakuwa kosa kubwa sana kama dunia itaruhusu tuzo za uongoKwani unateseka
kukariri ni nini ?Umekariri Tatizo..
Unavyohisi ni vigezo gani wanatumiaHizi tuzo bana vigezo wanavyotumia kupata washindi ni vya hovyo sana..
Sijasema ni mchezaji mbaya la hasha , lakini hana uwezo wa kuchukua tuzo hiyo hata kama mtunga vigezo angekuwa mama yake mzazi .Toa sababu kwann unapinga Luca kupewa sababu wakati alikuwa bora kwenye fainali ya uefa na alikuwa bora na mchezaji bora wa michuano ya world cup
Au midfielders hawapaswi kubeba tuzo ??
Sijui ila kuna wachezaji wengine wanabebwa na team performance na kwenye tuzo binafsi kama Ballon d'Or wanawakimbiza wachezaji ambao kama individuals walifanya makubwa kushinda hao waliotembelea nyota za wenzao.Unavyohisi ni vigezo gani wanatumia
Hata hapo kwenye goals na assists sio Ronaldo bali ni Salah..Kituko cha kuaga MwakaView attachment 955151
Ronaldo ana magoli zaidiHata hapo kwenye goals na assists sio Ronaldo bali ni Salah..
Ronaldo 44goals + 8 assists
Salah 44 goals + 16 assists
Ronaldo ana magoli zaidi
Kwahiyo Modric anatembelea nyota ya wenzake anabebwa na perfomance ya timuSijui ila kuna wachezaji wengine wanabebwa na team performance na kwenye tuzo binafsi kama Ballon d'Or wanawakimbiza wachezaji ambao kama individuals walifanya makubwa kushinda hao waliotembelea nyota za wenzao.
Unasemea Uwezo Wa Aina Gani?Sijasema ni mchezaji mbaya la hasha , lakini hana uwezo wa kuchukua tuzo hiyo hata kama mtunga vigezo angekuwa mama yake mzazi .