Mkuu Petro, kutokuwepo utaratibu fulani nchini hakumaanishi kuwa utaratibu kama huo haufai. Ni sisi ndio tunaotunga sheria/kanuni na taratibu zenu na kama hivyo ndivyo tunaweza kurekebisha na kuboresha kukidhi matakwa na mahitaji.
Mwenyekiti 6 yupo sahihi kabisa, hatuwezi kukwamsha zoezi ambalo kimsingi limefikia ukingoni.
Pia, kwa wale waliotoka nje ya bunge kwa kupinga kama ndugu zako Ukawa, kanuni hii mpya haitawalazimisha kupiga kura.
Jamani waacheni wabunge wengi popote pale walipo washiriki katka zoezi hili la kihistoria.
Katiba itapatikana
Vifungu vitapitishwa
Na wananchi watapiga kura ya ndio
Mtake ni hivyo, msitake ni hivyo.
Nchi imeharibiwa na tuliowaamini.
Mimi si Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba. Lakini,kama mtanzania wa kawaida sana,nina haki za kutoa maoni juu ya jambo lolote lihusulo nchi yetu. Na leo,natumia haki yangu hii iliyopo chini ya Ibara ya 18 ya Katiba ya sasa kupinga kimaoni kuhusu Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kupiga kura wakiwa nje ya nchi. Ninazo sababu mbalimbali za kupinga kimaoni suala hili.
Mosi, utaratibu wa kupiga kura kwa namna hiyo haukuwahi kuwepo na wala haupo hapa nchini mwetu. Kuanzia Katiba, Sheria za Bunge na hata Sheria Ndogondogo,hakuna suala kama hilo. Kwakuwa Bunge Maalum la Katiba linasimamiwa na Katiba ya sasa, Sheria ya Bunge Sura ya 83/2011 na Kanuni zake, sivyema kuleta jambo jipya lisilotambulika hata na Katiba ya sasa.BL halina upekee wowote wa kishera na kimantiki.
Pili, Bunge Maalum la Katiba lisilazimishe akidi. Kama Wajumbe hawapo basi.Waliopo wapige kura. Hakuna haja kuwatafuta popote walipo ili tu kukamilisha akidi ya wapiga kura na ya wakupitisha Rasimu. Hakuna cha kuwahi wala kuchelewa. Katiba ni yetu wenyewe. Twende taratibu.
Tatu, wananchi watataka kuona na kusoma nyuso za Wajumbe siku ya kupiga kura. Kupigia 'kifichoni' hakutaleta picha nzuri. Napinga suala hilo.
Nne, kura za walio nje zina utata huu au ule. Mjumbe aweza kushawishiwa na alipo au aliye naye huko na kupiga kura kutokana na ushawishi huo. Pia,itakwa ngumu kujua wangapi wamepiga na wamepigia upande gani. Napinga suala hili.
Kimsingi, kura za Wajumbe watakaokuwa nje ya nchi zisiruhusiwe. Kwanini ziruhusiwe sasa tu?
Mkuu hesabu
ilishakosewa,tuwaache tu wapige maana kura ina ndiyo ina hapana na ina
kuharibika.Nimewasikiliza leo aisee kuna sehemu moja nimeona kidogo wana
logic,kuwa kama utasema walio nje wasipige basi hata wale wa ukawa
hawatahesabika na wataohesabika ni wale 500 sasa kwa wajumbe mia tano
waliobaki bungeni wana uhakika wa column kutimia.Tujipange kwa namna
nyingine ila hapa kwenye kura tumezidiwa ujanja.
kyumana, hapa logic hakuna, kinachopingwa hapa ni kwamba kura inapaswa kupigiwa ndani ya chumba cha mpiga kura na sio kwamba usipokuwa ndani ya jengo wewe sio mjumbe wa BMK, usituzungushe tafadhari,,
Tukiwambia mje tuandamane mnabak kunyakunya tu. Acha magamba wafanye kaz yao
kyumana, hapa logic hakuna, kinachopingwa hapa ni kwamba kura inapaswa kupigiwa ndani ya chumba cha mpiga kura na sio kwamba usipokuwa ndani ya jengo wewe sio mjumbe wa BMK, usituzungushe tafadhari,,
Mwenyekiti 6 yupo sahihi kabisa, hatuwezi kukwamsha zoezi ambalo kimsingi limefikia ukingoni.
Pia, kwa wale waliotoka nje ya bunge kwa kupinga kama ndugu zako Ukawa, kanuni hii mpya haitawalazimisha kupiga kura.
Jamani waacheni wabunge wengi popote pale walipo washiriki katka zoezi hili la kihistoria.
Katiba itapatikana
Vifungu vitapitishwa
Na wananchi watapiga kura ya ndio
Mtake ni hivyo, msitake ni hivyo.
ID yako na contents za andiko lako, vinapishana kwa umbali wa mbingu na dunia!Huna ulicho andika cha maana zaidi ya utashi wa nafsi yako na sio utaifa. Yaonekana umeleta mada hii kwa kutumika zaidi