Napindua nchi peke yangu nimechoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napindua nchi peke yangu nimechoka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmzalendo, Mar 12, 2011.

 1. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani haja jamaa walileta shule za kata nikapeleka mtoto wangu
  hakapoteza miaka minne katoka bila cheti, sana wamekuja na hili
  la bajaji swali ninalojiuliza hizi bajaji zinawapeleka watu kufanyanini hospitali
  kama hakuna huduma? mbona mipango yetu kinyume nyume kila siku au viongozi wetu akili zimekaa up side down kwa hiyo mipango yao inaanzi tunapokwenda kabla ya tulipo
  wadodose zaidi hapa www.lifeofmshaba.com: HIZI BAJAJI HAZINA TIJA KATIKA KUINUA UTABIBU NCHINI HAPA NI SIASA TU IMETUMIKA !!!!!!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  mkuu umenena
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Anza kupindua hapo unapoishi kwanza kwenye hiyo nyumba ya kupanga ukishamaliza pindua mtaa wako then utafikiria kupindua nchi okay?
   
 4. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona hujasema lini wapindua nchi hii ya wadanganyika? au siri
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kazi tunayo, pamoja na ufisadi wote huu hatuwesi kununua magari ya wagonjwa? Hiz bajani zitaweza kweli kwenda kule kijijini kwetu Kiruruma Biharamulo? Tutadanganyana hadi lini jamani?
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  tatizo viongozi wetu wanadhani sisi hatuna akili kama wao wasivojua kifikiri.bajaji bajaji zitapita wapi? barabara hata trekta lapita kwa tabu sembuse bajaji,pili hosp wanakopelekwa hakuna huduma wala madawa sasa bajaji za nn? kuipindua nchi lazima watanzania wote waamke tuipindue kwa amani hapo 2015 na kutunga sheria za kuwapeleka mahakamani viongozi wote waliofilisi nchi tukianza na Mkapa,Lowassa,Mkwere,Hosea wote wote woooote mafisadi,kama Ufaranza wameweza kumpelea rais wao mahakamani kwa kosa la rushwa akiwa meya kwa nn sisi tushindwe? zambia nako wameweza,Botswana nk.
   
 7. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  unaota wewe
   
 8. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  jamani hivi kweli bajaji hizo za kubeba wagonjwa ni wagonjwa wa aina gani hao?? na zitakuwa zinatumikawa maana sehemu kubwa bara bara ni mbovu na huyo mgonjwa atafika hosp akiwa na hali gani???
   
 9. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #9
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka nina nyumba yangu sijapanga sio lazima niwe fisadi kuweza kujenga nyumba yangu
  mimi ninaupeo wa kutosha kupindia nchi wala siitaji kufanya kidogo kidogo kama unavyotaka kunilazimisha
  na PILI SIHITAJI WATU WAOGA KAMA WEWE WAOFIKIRIA KWA UFINYU
  MIMI SAWA NA ACID NAKULA HATA CHUMA NA KAMA UNADHANI NINATANIA
  NA WEWE UNAJARIBU KUNIKATISHA TAMAA here i am come to get you and them
  agrrrrrrrrrrrrrrrrrr amuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  www.lifeofmshaba.com
  mawzo yangu ni bunduki na vitendo vyangu ni risasi pisha muoga weee husije pigwa risasi hiyo yako
   
 10. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #10
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawezi kufika hatakufa kwenye foleni ngumu
  hayo mabajaji ni kutuwaisha chumba cha marehemu
  sio wodini huko hakuna huduma
   
 11. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  kaka umenifurahisha! Agiza bia 2 nitalipa!
   
 12. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #12
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sitaki wajue maana hiyo ni moja ya mbinu zangu kuna waoga wengi nch kwetu wasije kunishawishi tofauti
  na mauti zao sito zikama niwa hacha waliwe na tai
   
 13. V

  Vumbi Senior Member

  #13
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Anaye-ota ni wewe au ni yeye.

   
 14. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #14
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shukurani kama lakini kwa kuwa ninataka kudili na vicha nadhani ni nunulie bangi kaka
  ili niwe katili kama wao
  bangi nibangue nisiwaone huruma mafisadi

  agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr amuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 15. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #15
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo ni EL au RA kavamia account ya mtu
  mimi sitowafunga jera kumaliza pesa ya umma nitawato sadaka wakapigani vita huko Afganistan

  wezi wakubwa nyie mnatuipia mali na sasa mnataka kutufilisi fikra zetu kwa udanganyifu wenu
   
 16. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hayo tu!!!!!!!!!!!!!!??? kweli wabongo hamstahili kupiganiwa, mi wacha nirudi zangu msituni loh!!!!!!!!!!!
   
Loading...