The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
Kama ni hivyo mbona akipokea hawazungumzi?Vodacom hao simu zao za ndani wanazitumia
Pokea kisha iache hewani ili waliwe hela zao vizuri
labda unachunguzwa ndugu so tegemea lolote toka sasa
Duh!Hahahahahaha mkuu hapo umakin unahitajika kwa sanaaa maana mi juz juzi nimechunwa laki 2[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
"They are who"who are they?